Zingekuwa story za Mwendazake ningekuwa sizingui si ndio 🤣🤣🤣🤣Unazingua man
Mambo haya ndio siyapendi. Hayajengi unadhani unawamiza wenzako kumbe ni upumbavu tu.📌📌🔨 Unaumia upande upi bwana Suku gang?
Kama huyapendi wewe aliyekwambia na Mimi siyapendi ni nani?Mambo haya ndio siyapendi. Hayajengi unadhani unawamiza wenzako kumbe ni upumbavu tu.
Unafaidika na nini sasa? Stupid.Kama huyapendi wewe aliyekwambia na Mimi siyapendi ni nani?
Upumbavu kwako ila kwangu na brain brash so tusipangiane maisha fanya Yako kama inakukera pita huko.
Wewe ndio stupid kudandia mambo yasiyokuhusu.Jikite kwenye issue inayokupa ugali.Unafaidika na nini sasa? Stupid.
Kama una mzigo wako kwenye moja ya hizo meli na stock yako imeisha ndio utajua hii ni inefficiency au jambo la kufurahia.Common sense must be common here.
Utakuwaje na. 51 ships ndani ya bandari na unaexpect 19!!!
Serious ports do expect more ships than zenye ziko kwa bandari ,
Tumia akili
Jengeni more berths ,izo 11 mko nayo ni kidogo sanaaaa.
bridge after bridge!
February ni Dar-Moro! Moro-Dom-Makutupora though over 90% done mambo bado nadhani vituo bado havijakamilika.July tena sio February?!
Unaendekeza vitu vya kijinga ambavyo havijengi. Who is Sukuma Gang?Wewe ndio stupid kudandia mambo yasiyokuhusu.Jikite kwenye issue inayokupa ugali.
Tumekuwa na mijadala ya aina hii since Magufuli Yuko hai.na kabla ya wewe kupata uteuzi.
Kwa hiyo usipende kudandia treni Kwa mbele utapata miscarriage na inaonekana huna stamina kabisa.