Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huu sasa unaitwa utukunyema. Budget ya sasa ni 31.71 trillion shillings ($14.21 billion). sasa hicho ki 50bksh ni sawa $480Million.
Sasa huo hapo utakuwa ni ujinga sasa.
Hebu nionyeshe pahali nimeandika 50 bn ksh, na kama hupati, jiulize maswali kama upo sawa
 
Hebu nionyeshe pahali nimeandika 50 bn ksh, na kama hupati, jiulize maswali kama upo sawa
Vipi ndugu husomi hata news zako?
trend20-13.jpg
 
COLLOH, pitia hii link ujionee vimbwanga, ninamtafutia link ya MOI nayo pia aione, wakenya hawaijui.vizuri Tanzania, sisi sio watu wa kupiga kelele, tunafanya kimya kimya...kwenye upande wa specialized Hospitals, Kenya umeachwa mbali sana na Tanzania, hii inayofunguliwa keshokutwa ndiyo itawamaliza kabisa,
wapatie link hii hapa:
Wasiseme rais wao Moi bali ni (Muhimbili Orthopaedic Institute)
MOI: Mwanzo
 
wapatie link hii hapa:

MOI: Mwanzo
COLLOH pokea hiyo kama zawadi yako, na USA wamekubali kujenga hospital kubwa kupita zote Dodoma, kama ambavyo Morocco inavyojenga uwanja wa michezo Dodoma utakaokuwa na uwezo wa watu elfu95, utakuwa namba mbili kwa ukubwa Africa baada ya Soccer city, South Africa....go.go..go.. Tanzania
 
With a 45bn US economy.
Halafu thet are playing dumb here wakisema their economy is growing at 7% while Kenya's is growing at 5.5pc.
Technically, Kenya's economic growth rate is higher than Tanzania's considering Kenya's GDP is higher, so when you do the 7% of $45bn you will realise that it's way lower than 5.5% of $75bn.
is higher of debt may be, debt to GDP ratio is 60%😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛
img_1075-jpg.636042
 


Since September 2015 when Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI) was inaugurated, people from all walks of life have found answers to their heart alignment. This is Tanzania era to make history. I've been privileged to serve this organization since it started the fall of 2015, but before I worked here in the department of internal medicine later cardiovascular medicine since early 90s, the experience gained told me all I needed to know about the Cardiac mission in our country. At JKCI the patient is always first, and I wanted to devote myself and my life's work to such an institution.

Our government has invested heavily in building this Institute with 104 bed capacity, self contained private rooms, 9 Intensive care beds, 6 Coronary Care beds, Biplane Cath Laboratory and 3 ultra modern operating theaters which matches the highest level of heart diseases delivery across East Africa, where cardiac services is provided to all patients categories (those exempted by policy, insurance covered, cost sharing and private).

JKCI- provides not only the best cardiology care environment in Dar es Salaam but also the best cardiac centre in the country and I can say the entire EA. JKCI is a super specialty heart institute.

I'm often asked what is so special about JKCI. The answer is complex but put simply, it’s our approach to patient care — distinguishes us from any other clinic in the country when it comes to heart diseases more than 60% of the best cardiologist and cardiac surgeons in the country are at JKCI back-up with dedicated nursing and technologists staff.

These experts with different medical training background from around the globe (India, SA, Israel, China, Japan, USA, Russia, Norway, and Australia) with one vision to reach the highest levels. All are determined to make JKCI the centre of excellence when it comes to heart diseases management.

And I am honored to be a part of this institution as the First Executive Director since its formation. JKCI is a treasury of cardiac knowledge, where each day our outstanding staff delivers the highest-quality, highest-value care to our over 200 patients attended every day at out outpatient department, more than 6 cath lab procedures one every day and 2-3 surgical procedures done almost daily. I believe all JKCI employees feel this way — we are committed to providing the best care for every patient every day. As our presidents say “Hapa Kazi Tuu” direct translation at JKCI work and work only is the menu of the day.


JAKAYA KIKWETE CARDIAC INSTITUTE
 
Kuanzia rais na mawaziri wote wanatibiwa humu humu nchini, who is Lissu?. Huko kwenu ninadhani hadi MCAs wanaenda kutibiwa nje ya nchi, sema ukweli ni kiongozi gani atakaykubali kwenda Kenyatta Hospital?, njoo uone Muhimbili ilivyo, hiyo MOI hapo kwenye picha ni sehemu ya Muhimbili, is far better than Nairobi alipolazwa Tundu Lisu huko kwenu, hii yetu ni public na yenu ni private.
 
Subutu, njoo Dar uwaone wenzenu wakenya walivyojazana ocean Road Cancer institute wanavyotibiwa cancer, by the way hiyo cancer institute ya Ocean road ndiyo kubwa na ya kisasa kuliko zote katika ukanda huu, kama mnayo Kenya lete tulinganishe.

Jakaya Kikwete cardiac Institute ndiyo kubwa na yakisasa zaidi kuliko zote kusini mwa jangwa la sahara ukitoa South Africa na Namibia, wakenya wamejazana hapo wanasubiri operation za moyo bila kufungua kifua, Tanzania ni nchi pekee katika ukanda huu ambayo wagonjwa wote wa Moyo wanatibiwa nchini, na sasa hivi tunatibu wagonjwa wa nchi jirani ikiwemo Kenya, ukitaka ushahidi tutakupa..Kenya is old story my friend..
Mater hospital ni public na inatibu heart problems......as well as cancer.I wonder which Kenyans are seeking treatment over there in Tanzania.....ugonjwa wa moyo ni kama malaria tu
 
Back
Top Bottom