Kinjekitile Jr
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 600
- 1,769
Amemtapeli nani?? Kati ya Samia na Maria Sarungi nani tapeli??Achana na huyo tapeli wewe nyumbu.Hata uwe na PhD 💯 haizuii kuwa tapeli na ni kazi Bure
Ajabu ni kwamba foleni ya meli za mizigo dar zimewaumiza sana roho zenu hamulali mukiwaaza na sisi tuliwaambia muda utaongea na sasa muda unaongea 🤣🤣🤣At Mombasa Port all the 20 ships ni za mizigo.
🚮🚮🚮Amemtapeli nani?? Kati ya Samia na Maria Sarungi nani tapeli??
Samia kauza ngorongoro,kauza bandari na sasa anataka kufanya awezalo JNHP isikamilike kwa wakati ili mambo yake ya kifisadi yakamilike
Yani we acha tu mkuu,kiukweli tunahitaji mfumo(Chama) mwingine wa kiuongozi ambao hautokani na dam ya CCMnimeongea sn kuhusu kulala kwa viongozi wa hii nchi, tatizo wengi wazee, CCM inatuharibia sn hii nchi, imagine takwimu kama hizi hazionekani, wenzetu wakunya hata wakiuza kijiko Tz wanakipiga picha wanapost, nchi ina viongozi mizigo sn hii.
"Si namna hiyo wangwanaa? Acha nione kwa mikono ....mikono ....mikono Hahahaha salalaale kumbe nyinyi ni watu wangwana ivo". 😂😂😂William Kipchirchir Samoei arap Ruto naye anasema tumetenga au tutatenga; sasa shida iko wapi hapo?😎😎
Compare Mombasa and Dar Port. Out of 20 the ships that arrived in Dar Port between today and 28th December, 11 ships are pilot and tug boats. Carrying nothing.
Hajasema hizo si za Tanzania?
i thought Etihad was flying to Nrb!
Abu Dhabi - Nairobi is a new route, currently they fly Dubai - Nairobi route.i thought Etihad was flying to Nrb!
🤣🤣🤣 itabidi aje hapa atueleze zinafananaje 😁
Eti south of Nairobi na CBD yote ndani mbavu zangu mie 🤣🤣🤣🤣South of Nairobi CBD