Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila wadau twende mbele turudi nyuma hapa kwenye bandari bado tunafeli sana sijui tatizo nini hapa

Wala si kwa kihivyo, kama si shallow thinking ya Magufuli iliyomuamuru kupiga teke mradi wa Bagamoyo port saahii tungekuwa tunapeleka baadhi ya meli Bagamoyo!
 
Sasa hivi wanafata nguo Tanzania badala ya China. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


View: https://www.instagram.com/reel/C1WbqDXMq2D/?igsh=ZXk0amprcmRtMjc4
Tahmmed kwenye cargo ya zile fuso kwa sasa anafanya biashara kuliko hata buses,mombasa hadi magodoro wananunua TZ,sofa,nguo za kike hasa madera zote wanatoa TZ,fuso za Tahmed kwa siku hata 5 zinatoka pale kkoo ofisini kwao,shida iliyoko TZ tuna viongozi vilaza awaweki data vitu tunavyoexport kunyastan,kwa upande wa nairobi pochi za kike wanakuja kuchukulia TZ,sasa hivi TZ ndio china yao wakunya
 
mzee baba so mimi nimekuwa SI unit? πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…