Mbona hata mama Samia hajaiona ukiona ivo ujue ni uwekezaje wa kimagumashi sana ndo maana hata serikali ya awamu ya sita imeona aibu kuupitishaFursa Magufuli alishindwa kuona! BTW Bagamoyo port ingekuwa inakula nyomi !
View: https://youtu.be/hLPJfyLgIL0?si=6JqPJ7zrOntJdlEZ
Mama samia alienda mpaka China kumuomba Xi Jinping arudishe mradi! Kuna kitu kinaitwa negotiations jamaa yenu hakuwa na upeo kwenye hilo!Mbona hata mama Samia hajaiona ukiona ivo ujue ni uwekezaje wa kimagumashi sana ndo maana hata serikali ya awamu ya sita imeona aibu kuupitisha
kwahiyo wewe unadhani tutabaki pale pale licha ya cargo kuongezeka kwa kiwango cha kutisha? yani kwenu mzigo hakuna mpaka Dar port ijae ndio mombasa port ipate meli moja au mbili na bado unaongelea 40m metric, wakenya hamna akili.Hahahahaha. Most efficient with less than 20 million metric tones of cargo? While in Kenya we are trying to beat the 40 million mark this year. Sit this down please
Kwa hiyo kilichosainiwa ni hela ambayo inaingia Serikalini? Acha kukurupukaKwa nini hela ya gesi waliyosaini wakina Marope ($42B) isilipie hiyo barabara?
Tunazo kitambo sana ni vile ushamba unawasumbuaHii ingekuwa Tanzania wangeiita V.V.V.I.P
View: https://twitter.com/BusesDaily/status/1740438942397202664?s=19
Achana na huyo tapeli wewe nyumbu.Hata uwe na PhD 💯 haizuii kuwa tapeli na ni kazi BureSio tapeli wewe ndio tapeli,kada na chawa wa Samia......huyu dada elimu aliyo ukoo wenu hayupo wa kumfikia na anatoka ushuani sana.......baba yake alikuwa Waziri CCM ila yeye ameona CCM ni ujinga tu
Be open minded,nchi hiii imeharibiwa sana na CCM na huyu ndie adui yetu mkubwa,hatuna budi kumuondoa
Growth rates umeiona lakini? Sasa this year 2023/24 ni around 25mln tons
nani huyo, Kiranga? au?Jukwaa hili lenyewe atumtaki,tushawahi kuwaomba Moderator wampige ban humu kucomment
Analysis 2001-2022(Past 10 years).They are still dreaming of overtaking Kenya. Mtangoja sana.
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1740695971074556414?s=19
Anamzungumzia hyo choicenani huyo, Kiranga? au?
Walisema construction ya Bagamoyo port itaanza mwaka huu wa Bajeti lets hope so.Dah!! Yani we acha tu! Yani hatuko serious kabisa!! Wangeanza na Bagamoyo port, hata gati 1 every two years. Unaweka na gentry cranes mbili tu, tunatakiwa kuamka sasa!!
Hii ndio train sio ile gari moshi la kaskazini kichwa kama ngombe 🤣🤣🤣