Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,221
- 35,616
Baada ya kuona wanapigwa na kitu kizito na dar port wanaanza toa records za kifyatu
Jukwaa hili lenyewe atumtaki,tushawahi kuwaomba Moderator wampige ban humu kucommentMafikiri unanifananisha na mtu mwingine.
Huyo Mshama simjui.
Huna jukwaa lako. Usijipe umuhimu ambao huna. Sijaleta ubishi nimesema fact tu, tatizo hamtaki fact mnataka ushabiki.
Level ya Mombasa mtafika 2050. Kwa sasa papmbaneni na KipindupinduShukuraniiiii kwa wakenya kwa kutuachia evidence ya Mombasa port next time itakua mkuki wa kuwaulia
Hata wiki haijaisha tangu niandike hivi. 😂😂😂Tunasubiri wapike data kama kawaida. 😂😂😂
Hawa watu ufukara ni fungu lao
Mbana pua onyesha tarehe kama hii ya kwenu mnaokufa na kipindupindu 2023 washamba nyinyi
Kwamba unahitaji mchina aje achimbe hadi dhahabu, dhahabu hata mwanakijiji asiye na elimu kabisa anaweza kukuchimbia, akaprocess akakuletea,Inasikitisha sana serikali inamefilisika kabisa hata mawazo tu, Nyerere alipiga marufuku madini ya vito gemstones kuchimbwa na wageni kabisa na ndio maana miji kama ya Arusha ilikua kwa kasi sana sababu ya locals kuchimba Tanzanite wenyewe hence ikapelekea uchumi shikirishi kukua na kunufaisha locals wengi sana, baadae wasio na akili wakaruhusu mpaka wakenya wakawa wanakuja kuchimba, Magufuli alipoingia akawafukuza na kuzungusha ukuta, mpaka wanyarwanda walikua wanachimba mle kisa tu mamlaka wanayo wasio na akili wala aibu
Huwezi kusema wananchi wajiongeze wenyewe bila kuwawekea sera na mikakati ya kufika dunia ilipo leo, bado watanzania wengi wapo kwenye feudalism state of thinking, modern economy bado wengi hawajui, wengi wanamiliki mifugo mingi, mashamba makubwa wanaficha pesa uvunguni, ndani ndani huko watu wana pesa nyingi sana lakini hawajui wazipeleke wapi, serikali kupitia mabanki na taasisi kama TIC inatakiwa ije na incubation program kuwavusha watanzania wenye capital potential kutoka kwenye primitive economy.
Kwanini wasiende gikomba 😁Sasa hivi wanafata nguo Tanzania badala ya China. 😂😂😂
View: https://www.instagram.com/reel/C1WbqDXMq2D/?igsh=ZXk0amprcmRtMjc4
Mbona institution hiyo hiyo ikisema electricity access in Tz ni 95% mbona huwa mnabisha sasa.Sibishani na data. I only trust your statistics body which states that Dar port did 20M in 2022 and JNIA only handled 2M passengers.
Tanzania ilishaovertake Kunya kitambo , in fact Kunya haijawahi kuwa better than TZ , get this bitter fact deep inside your small skull between your large ears.They are still dreaming of overtaking Kenya. Mtangoja sana.
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1740695971074556414?s=19
Au istlii. 😂😂😂Kwanini wasiende gikomba 😁
Only 37% of Tanzanian households are connected to electricity.Mbona institution hiyo hiyo ikisema electricity access in Tz ni 95% mbona huwa mnabisha sasa.
I don't listen sorcerers like you. The only thing Tanzania is better than Kenya ni uchawi na urogi.Tanzania ilishaovertake Kunya kitambo , in fact Kunya haijawahi kuwa better than TZ , get this bitter fact deep inside your small skull between your large ears.