The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
tena wizi mkubwa sana, nashindwa kuelewa kwnn cc wananchi tunaukubali wizi, tatizo cc watz pia tumelala sn, hatupaswi kuto i challenge govt inapotokea unyonyaji wa kifala kama huu.Huu wa rufiji hydropower uendane na kuondoa kabisa shida ya kukatika kwa umeme na vilele kupunguza gharama ya malipo ya umeme kwa kuondoa vitozo vyote vya kutuibia wananchi,imagine kila unaponunua umeme mara ya kwanza kwanza kwa mwezi unakatwa elfu 4.5,huu ni wizi wa serikali dhidi ya wananchi
Hii ndio uchafu unaonesha ya over 15 good yrs 😅😅😅😅😅😅 nani aliroga kenya??Lakini we huwa chizi 🤣🤣🤣🤣🤣
Konza mwakani itanyorosha huu mkebe wenu taratibu.
View: https://youtu.be/WVtqRgVs2oM?si=CSWG6dNY35MOjyUw
Simple, I'm opening a thread on that $30B terminal then we'll see who'll be vindicated as time goes because y'all seem to have your heads up your asses.In 2012 when we had 15TCF the value was 150bn dollars now we have 57TCF and gas prices have gone up now do the maths yourself.
This was according to WB.
Tanzania can benefit from natural gas by empowering people
If you are looking for a house in Dar es Salaam, hurry up. With the recent discovery of massive natural gas reserves, affordable houses will soon become a rarity. The cost of living in African countries with abundant natural resources (Angola, Gabon, etc) is among the highest in the world. ...blogs.worldbank.org
Ndio mnaanzaga hivi. Mara paap nchi nzima inabinafsishwa tunakuwa Kenya. Mshindwe!Sema nini mkuu kwenye hili suala private sector inaitajika ata wewe ukiangalia hamna shirika ata moja la serikali linalofanya kazi ya kuridhisha yote ni hasara tuu , hata hii sgr tunayotambia wasiwasi wangu mkubwa ni uendeshaji tuu, hata wewe nikikuuliza nitajie shirika hata moja la serikali linalofanya vizuri utakosa majibu sio kwa serikali hii ya ccm eti mkurugenzi akizingua shirika fulani unambadilishia kitengo ili hasipoteze kazi hatuwezi kufika aisee
Hakika kaka,ccm inatuchukulia wananchi kama wajinga hivi!tena wizi mkubwa sana, nashindwa kuelewa kwnn cc wananchi tunaukubali wizi, tatizo cc watz pia tumelala sn, hatupaswi kuto i challenge govt inapotokea unyonyaji wa kifala kama huu.
Hivi dhana ya serikali kutoweza fanya biashara inatoka wapi? Kwani serikali ni mdudu gani kama siyo watu?Mkuu serikali huwa haiwezi kufanya biashara poppte pale duniani na hakuna ufanisi wowote utakaopatikana kama kila siku mtakuwa mnabadilisha viongozi kutoka sehemu moja walipoharibu na kuwapeleka kwingine wakaharibu. Mtu akiharibu anatakiwa afukuzwe kazi ashitakiwe je sheria zetu za ajira zinaruhusu hivyo?
serikali haifanyi biashara ila inaweza kumiliki kampuni kwa njia ya shareholding! Hizo kampuni za kichina serikali yao ina stake! Haihusiki kwenye uendeshaji! Usichanganye madesa!Hivi dhana ya serikali kutoweza fanya biashara inatoka wapi? Kwani serikali ni mdudu gani kama siyo watu?
Wamagharibi wanapotumia kauli ya kutenga biashara na serikali ni utamaduni tuu unaoendana na maisha yao ya individualism, siyo kwamba ni gospel na sisi tufuate.
Tuna mifano chungu mzima ya makampuni ya kiserikali yanayofanya vizuri sana; Gazprom, SGCC, CNPC, CSCEC, China petroleum corporation etc
Ni watu ndiyo wanaoendesha biashara, mmiliki awe serikali au watu binafsi.serikali haifanyi biashara ila inaweza kumiliki kampuni kwa njia ya shareholding! Hizo kampuni za kichina serikali yao ina stake! Haihusiki kwenye uendeshaji! Usichanganye madesa!
Wewe uso mbovu kweli wewe ni mpumbavu wa kiwango cha lami sana, 🤣🤣🤣 nimeiangalia video yako hadi mwisho nimeona gorofa moja tu na empty green field+barabara zisizo na viwango. Halafu eti unasema mwakani Konza itakua above Dom. 🤣🤣🤣🤣 Dunia Ina vioja hiiKonza mwakani itanyorosha huu mkebe wenu taratibu.
View: https://youtu.be/WVtqRgVs2oM?si=CSWG6dNY35MOjyUw
Wachina hawafanyi hivyo sasa! North Korea ndo wanafanya unachotaka! Hata Gazprom haiko hivyo usiropoke wakati una Internet! Tumia Google...! Gazprom na hizo Chinese companies ziko listed!Ni watu ndiyo wanaoendesha biashara, mmiliki awe serikali au watu binafsi.
Mkuu mali ya serikali ni ya umma hata ukiwa na watu bado perception yao ni kuwa hela za umma hazina uchungu kula ama kupotea ila private sector every cent counts. Maana if I loose na loose kama mimi individual ila serikali tunaona ina mahela mengi haiwezi kufilisika hence viongozi hawana uchungu na hela ya ummaHivi dhana ya serikali kutoweza fanya biashara inatoka wapi? Kwani serikali ni mdudu gani kama siyo watu?
Wamagharibi wanapotumia kauli ya kutenga biashara na serikali ni utamaduni tuu unaoendana na maisha yao ya individualism, siyo kwamba ni gospel na sisi tufuate.
Tuna mifano chungu mzima ya makampuni ya kiserikali yanayofanya vizuri sana; Gazprom, SGCC, CNPC, CSCEC, China petroleum corporation etc
wakenya wamekimbizwa na kasi ya maendeleo ya tz, kila tulichoahidiwa kimefanyika na bado vingine vya ziada, on the other hand kwenu hali ni tete na kila kukicha hali inazidi kuwa mbaya zaidi ya jana, so ni lazima mkimbie na tuliwaambia mtakimbia nyote na kutuacha pekeetu humu.Watanzania na uchizi wenu mmepeleka Wakenya wapi humu ndani!?
Ndiyo maana nikasema, tatizo lipo kwenye uwajibikaji. Kuna nchi zinaendesha mashirika ya umma vizuri kwababu ukikosea unawajibishwa. Sisi kwetu ukivurunda unahamishwa kwenda sehemu nyingine.Mkuu mali ya serikali ni ya umma hata ukiwa na watu bado perception yao ni kuwa hela za umma hazina uchungu kula ama kupotea ila private sector every cent counts. Maana if I loose na loose kama mimi individual ila serikali tunaona ina mahela mengi haiwezi kufilisika hence viongozi hawana uchungu na hela ya umma
Mmiliki ni yule anaye own majority ya stake kwenye kampuni. Kwani Serikali ya China inamiliki % ya State grid?Wachina hawafanyi hivyo sasa! North Korea ndo wanafanya unachotaka! Hata Gazprom haiko hivyo usiropoke wakati una Internet! Tumia Google...! Gazprom na hizo Chinese companies ziko listed!