game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,056
- 26,336
Akili za kindzezi sana hizi, what are you celebrating here ? Tuongee kama watu wazima kabisa wenye akili timamu.
Ni ramsi sasa marekebisho ya uwanja wa Mkapa na Uhuru yameanza tukutane October 👇
View: https://www.instagram.com/p/C1KRJ4WiY2V/?igsh=MTc4MmM1YmI2Ng==.
Hii nimepiga Jana kabisa 😎 Patapendeza zaidi.Niliwaambie ileilikuwa rasharasha tu,kazi inaanza.
Hii comment imefanya nicheke sana 😅😅😅Thanks for posting Kenyan built buses again.
Siku hizi unaonekana chale tu no wonder hakuna mtu anajisumbua kikujibu zaidi ya kucheka tu 🤣🤣🤣🤣🤣The article writer actually knows that MV Mwanza is not the largest in lake Victoria but only in uchawiland, that's why he written that "Tanzanian biggest ship"
Huyo ni Upungufu wa kuelewa kizungu longest anachanganya na largest!Siku hizi unaonekana chale tu no wonder hakuna mtu anajisumbua kikujibu zaidi ya kucheka tu 🤣🤣🤣🤣🤣
Unamaanisha responce ya stupid Murkomen!?Teargas naona unaumia mpaka unachanganyikiwa.
Umia kidogo kidogo. Kwenye Buses sahau kabisa kupata vitu vya TZ.
Nasikia huko mlitwangwa swali why Public transportation ni ya ovyo mkaishia kuingia mgogoro na Rwanda.