Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huo ni ukweli kaka mimi sikupingu kama ni wakati wa kuusema ukweli usemwe
 
Hapo Lujiazui Pudong new development area (Financial District) kuna apartments ndefu kuliko mlima Kundustan πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Halafu wakundustan wakiona apartments CBD wanashangaa, Wakiona watu wamesimama kwenye public transport ( Bus, train, etc) wanashangaa, Hivi hawa wakundustan hawana macho ? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Yaani macho yao yanaona mwisho KICC na Kwenye madirisha ya giza ndani ya Mathree yenye kunguni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
I don't think beautiful cities are measured by such monstrosities. Small cities like Rakow, green, fresh, well planned, are much more appealing
 
There is a lot of peace here
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…