Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Najua hujaridhika na mtazamo wa mwenzako, we kuwa Patriot kama ambavyo mnahamasishana huko kwenu.
 
And please usisahau kuwaambia fellow Kenyans ukweli Dar es Salaam City construction projects is everywhere karibu tena 2026, jitahidi uje mwezi wa June, July, August, wkt huo hakuna joto kbs, bebe kali, vibe kali wana hawana noma ni bata tu bila kwere!Sisi ndo waTZ tunaoelewa nini maana ya kuishi.
 
Kuna mkenya mwenye anaweza nielezea tofauti ya haya maneno mawili.?

1.Yoyote
2.yeyote

Kenyans, what is the difference between these two words.?

Cc Teargas Kimbg Nicxie mwaiofhawaii .
Yoyote hutumika Kwa vitu. Mfano: chagua habari yoyote unayoipenda kwenye hili jukwaa.

Yeyote inatumika kwa wanaadamu.
Mfano:Mtu yeyote anaweza barikiwa na Mungu kwa wakati wake.

Natamani nimekujibu ipasavyo
 
Nioneshe majengo marefu kama hayo ya Kizingo popote Mwanza tuone. Over 20 floors
 
Foreign investments in Mombasa? Wewe kima wa Mwanza unafaa kujua kwamba Mwanza haina nguvu ya kupambana na Mombasa Kwa lolote. Kama IPO litaje tujue na tulijadili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…