The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Wakundustan wamejaa JKCI kama kumbi kumbi na hawana popote pa kwenda Africa zaidi ya Tanzania pale hospitali zao zote zinapoinua mikonoInasikitisha serikali yetu inashindwa kutoa takwimu za wagonjwa wanaotoka nje ya TZ kuja kutibiwa TZ,pale taasisi ya moyo ya jk kuna wakunya kibao wanapewa refarral kutoka naipori na kuja TZ,tena wanaandikiwa india au TZ mtu anaangalia gharama yake na wengi uprefer kuja TZ,kuna mmoja aliniambia india gharama india ni kubwa so ndio maana kaja TZ kafikia kwa ndugu zake anaenda muhimbili kwenye mazoezi na kurudi home mpaka atakapofanyiwa operation,na alifikia pale magomeni mapipa
Wamebaki kutahamaki na kushangaa eti Tanzania bado kuna mashamba, ukiangalia comments kwenye videos za wakenya wenzao waliotembelea Tanzania wa nashangaaga Tanzania kuwa na eneo kubwa lenye rutuba na hapaishi mtu kabisa 🤣 hapo ndio huwa najiuliza kama idadi yao ni sahihi kweli? Hata miji yao inaonesha inamsongamano mkubwa sana wa watu tofauti kabisa na TanzaniaHili li Tanzania haki ya mama ni likubwa balaa alafu watu hakuna kabisa, kote huku ni pori tupu aisee, watanzania sisi ni wavivu kuzaana wallahi, wenzetu wakenya wanazaana kama panya kanchi kadogo wapo zaidi ya 60m.
View attachment 2841373View attachment 2841374View attachment 2841375View attachment 2841378View attachment 2841380View attachment 2841377
Wakenya wapo zaidi ya milioni 60, kanchi kao ni kadogo zaidi ya mara mbili ya Tanzania, sisi wavivu kuzaana.Wamebaki kutahamaki na kushangaa eti Tanzania bado kuna mashamba, ukiangalia comments kwenye videos za wakenya wenzao waliotembelea Tanzania wa nashangaaga Tanzania kuwa na eneo kubwa lenye rutuba na hapaishi mtu kabisa 🤣 hapo ndio huwa najiuliza kama idadi yao ni sahihi kweli? Hata miji yao inaonesha inamsongamano mkubwa sana wa watu tofauti kabisa na Tanzania
Zilipendwa.Dar ichunge sana mwenzake Mombasa anakomaa kwa kasi
View attachment 2841406View attachment 2841407View attachment 2841408
Acha kukurupuka😎Mizigo gani ya maana inaenda burundi?
Iyo pesa jengeni roads na electricity kwenu ifike 90%>
Pia muondoe uswazi nchi mzima.
Ok, tuseme Mombasa mwenzake Dar, je Mombasa kuna cable stayed bridge? Mana mlisema Nairobi hakuna ulazima, ok Mombasa kuna electrified railway? Je, mombasa kuna three level interchange? Je, Mombasa kuna modern airport like JNIA? Je, Mombasa kuna modern bus terminus like Magufuli bus terminal? Je, Mombasa kuna BRT? Haya yote nimekuja kugundua hayapo Kenya nzima, na sio tu Kenya bali ni East and central Africa, so wakenya mpambane kweli kweli kuifikia Tz ya leo.Dar ichunge sana mwenzake Mombasa anakomaa kwa kasi
View attachment 2841406View attachment 2841407View attachment 2841408
Huyu ni mtoto wa Odinga na baba yake tena anasema kilimanjaro ni yao, naona tatizo ni njaa wanapoteza kumbukumbu 😁😁
Karibu sana TZ jirani, feel at home.
Huwa wanatoa sana tuu sema wewe ndio uko less informed.Inasikitisha serikali yetu inashindwa kutoa takwimu za wagonjwa wanaotoka nje ya TZ kuja kutibiwa TZ,pale taasisi ya moyo ya jk kuna wakunya kibao wanapewa refarral kutoka naipori na kuja TZ,tena wanaandikiwa india au TZ mtu anaangalia gharama yake na wengi uprefer kuja TZ,kuna mmoja aliniambia india gharama india ni kubwa so ndio maana kaja TZ kafikia kwa ndugu zake anaenda muhimbili kwenye mazoezi na kurudi home mpaka atakapofanyiwa operation,na alifikia pale magomeni mapipa
Sasa wanashangaa nini ikiwa 51% of our Landmass is covered with protected forests hapo sijataja vichaka na Misitu ya hapa na pale.Wamebaki kutahamaki na kushangaa eti Tanzania bado kuna mashamba, ukiangalia comments kwenye videos za wakenya wenzao waliotembelea Tanzania wa nashangaaga Tanzania kuwa na eneo kubwa lenye rutuba na hapaishi mtu kabisa 🤣 hapo ndio huwa najiuliza kama idadi yao ni sahihi kweli? Hata miji yao inaonesha inamsongamano mkubwa sana wa watu tofauti kabisa na Tanzania
Kati ya Walikale na Kisangani Kuna nini kipo katikati kinazuia reli isinyooke?
Wewe una uelewa mdogo sana. Ili ufike DRC lazima reli ipite Burundi. Besides Burundi wana madini mengi sana yanasafirishwa nje ya nchi hatuangalii tuu imports. Target yetu ni Eastern DRC KINDU.Mizigo gani ya maana inaenda burundi?
Iyo pesa jengeni roads na electricity kwenu ifike 90%>
Pia muondoe uswazi nchi mzima.
It will take them more than 30 years kuwa na facilities kama zilizopo Dar.Ok, tuseme Mombasa mwenzake Dar, je Mombasa kuna cable stayed bridge? Mana mlisema Nairobi hakuna ulazima, ok Mombasa kuna electrified railway? Je, mombasa kuna three level interchange? Je, Mombasa kuna modern airport like JNIA? Je, Mombasa kuna modern bus terminus like Magufuli bus terminal? Je, Mombasa kuna BRT? Haya yote nimekuja kugundua hayapo Kenya nzima, na sio tu Kenya bali ni East and central Africa, so wakenya mpambane kweli kweli kuifikia Tz ya leo.
Hopo judiciary Square ndio home ya Supreme Court of TanzaniaHii iwe landmark ya Dodoma tu mpaka huo mnara wa mashujaa utakapoisha au SGR station
View: https://youtu.be/3N44Odjn-gk?si=bNUJRoZDWkN6bGYY
Miaka ya nyuma kipindi cha Ben na Jk walikuwa wana underestimate economic data ili kujificha kwenye kichaka cha kupata free market access to Europe and USA.Huwa wanatoa sana tuu sema wewe ndio uko less informed.
Next budget readout sikiliza Wizara ya Afya utapata takwimu zote.