Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mpumbavu wewe kwani huku hatuna ma supermarket. Hata miji mikubwa kama london ina mix ya ma supermarket na maduka ya kawaida kama huku yanaitwa off license.
Acheni ushamba wakunya.
You don't have any noticable formal market. Hata Uganda imewashinda๐Ÿ˜‚
 
Haha better than Dodoma,
Ama unaona madream houses zimetapaka?
Plus iyo ni pic ya kitambo, roads zikiwa under construction.
 
Who said nairobi roads are good ?
 
Keyword โ€œ THINKโ€ ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
hio basi mnatengeneza from scrach ama unapanua tuu bakuli hapa yaani kunganisa vitu mwanaume ametumia akili kuvivumua unapiga kelele ni wewe umetengeneza ama ni zile body za mabati ndio unajua ni gari.
Lia zaidi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Built in Kenya by Kenyans for Kenyans.
 
kwahio wizara yenu na viongozi wenu hawana akili kwa wakisemacho au sio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ