Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Eti miso misondo 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Teargas unaupiga mwingi, nimeona picha hapo ya buffet safi sana. Kama hutakasirika naomba darasa dogo, inavyoonekana mpo na purchasing power nzuri eeh, sasa inakuaje huko kuna chronic hunger?



Kingine kabla hujapost uwe unaanza na Thanks for beloved Tanzania Agricultural management to help us have this delcious food on out shitty table.
 
Yes. Kwanza I'm 100% sure every Kenyan in this forum uses bolt, Uber etc to move around. Nyinyi hamna uwezo like that.
Nimequote hilo duka lako. Alafu kuna nini unapata ukiagiza Uber or Bolt foods? Si unaletewa junk food ambayo inashorten life expectancy. So ni Every Kenyans in this forum naona huko wengine wanalia kweli kweli. Tunashukuruuuu umekua specific.

Kuhusu sisi kama ni Bolt or Uber ya usafiri tunaomba usitukosee tafadhali, kwanza we like to be specific usafiri jijini upo well organized, anytime unapata usafiri wa kukufikisha, hizo Bolt na Uber ni option mojawapo ya usafiri huku Dar na majiji mengine.

Kwa kua nyie mnapenda kua wazungu weusi na hamna well organized public transport, Uber na Bolt ndio tu well organized ndio maana mnazipenda.

Kitu ambacho ni option bongo
 
You have already given up😂😂😂. I have just mentioned 4 na tayari ushachoka. Niendelee ama niache?
Endelea may be utafika kutuonesha branch zao huko Turkana na North Kenya ili tufungue macho.

And niendelee kukukumbusha hivyo viretail vyote vinaombea Tanzania iendelee kuwa imara, ikiyumba tu nakwambia hutaweza mudu chochote hapo.
 
Kwa domo domo hamjambo, ila hadi jumia walitoroka nchi yenu kwa kuwa hio sector tanzania ipo very underdeveloped
 
I use Uber and Bolt for movement. Again I better use Bolt or Uber than to stand in your BRT congested with people full of bed bags.
 
I use Uber and Bolt for movement. Again I better use Bolt or Uber than to stand in your congested BRT people full of bed bags.
English ya Ugoko. For movement? Kwamba hapo Bolt tu ndio option bora, bodaboda hawana vijiwe hapo? Bajaji hazina vijiwe? Daladala hazina ruti? Mpaka tuchukue Bolt ujue tumekosa hivyo or tuna haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…