Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

What was the normal play time score......Tanzania can never beat us in a 90 minute game
Kwa taarifa yako Nigeria ilishindwa kufuzu baada ya kufungwa na Togo,
Senegal ilishindwa kufuzu baada ya kufungwa na Guinea,
Ghana ilishindaa kufuzu baada ya kufungwa na Burkina Faso,
Ivory Coast ilishindwa kufuzu baada ya kufungwa na Niger,
South Africa ilishindwa kufuzu baada ya kufungwa na Lesotho,
Unaita small tournament kwa sababu timu yenu haikufuzu baada ya kupokea kichapo kikali cha 4-1 kutoka kwa timu ya Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I'm sure you didn't see the type of squad Nigeria fielded, that alone tell you how less they value the tournament. And then for your information, penalty knock out has never been a good way of identify a strong team. When it come to penalties even Kariobangi South can eliminate Real Madrid

Unaita small tournament kwa sababu timu yenu haikufuzu baada ya kupokea kichapo kikali cha 4-1 kutoka kwa timu ya Tanzania 😂😂😂
Sungura kashindwa kuzifikia ndizi "Sizitaki mbichi hizi"
 
Unasema CHAN ni small thing halafu unazungumzia cecafa ambayo hata haitambuliki 😂😂😂 hivi unafahamu CHAN AFRICA inatambulika na CAF,
Hivi unafahamu ni vikombe vingapi vya CECAFA, COSAFA vimebebwa na timu za Tanzania?
I asked about continent trophies unaniambia about regional things. Sawa tell me, how many cecafa trophies has Tanzania won?
 
I'm sure you didn't see the type of squad Nigeria fielded, that alone tell you how less they value the tournament. And then for your information, penalty knock out has never been a good way of identify a strong team. When it come to penalties even Kariobangi South can eliminate Real Madrid

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye mpira kuna matokeo aina tatu, kuna kushinda, kushindwa na kudroo.
Nyie tuliwashinda tukawatoa kwenye kinyanganyiro cha kufuzu michuano ya CHAN.
 
Kwa taarifa yako Nigeria ilishindwa kufuzu baada ya kufungwa na Togo,
Senegal ilishindwa kufuzu baada ya kufungwa na Guinea,
Ghana ilishindaa kufuzu baada ya kufungwa na Burkina Faso,
Ivory Coast ilishindwa kufuzu baada ya kufungwa na Niger,
South Africa ilishindwa kufuzu baada ya kufungwa na Lesotho,
Unaita small tournament kwa sababu timu yenu haikufuzu baada ya kupokea kichapo kikali cha 4-1 kutoka kwa timu ya Tanzania 😂😂😂
The simple fact that almost all the big teams on the continent didn't qualify as you've highlighted above should tell you something about Chan
 
Mlitushinda wapi? Tell me the scores within the 90 minutes played.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama mlishinda mbona hamkufuzu CHAN 😂😂😂
The simple fact that almost all the big teams on the continent didn't qualify as you've highlighted above should tell you something about Chan
Hivi unafikiri sifahamu kuwa CHAN inawahusu wachezaji wanaocheza ligi za ndani? Halafu kama ukiweka kisingizio hapo utuambie kuwa wachezaji wote wa kenya wanacheza ligi za nje ndio maana mkafungwa na Tanzania.
 
2180739_IMG_20191007_112744.jpg
thumb_pgpqfgnwtgdml1hwvah5abca76db59a2.jpg
Crop676x507 (1).jpeg
images(158).jpg
4549392_137245951745767822305317694932956n_jpegf1b926d7a9e399f87a396af241387a74.jpeg
1978066_tapatalk_1541620237126.jpeg
images(72).jpg
Ds2TzSRXgAAHHaJ.jpg
1971512_b74b75fa04373e82f3f82c43a7e960ad.jpeg
 
Back
Top Bottom