Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,912
- 103,771
That's way back!
That's way back!
😂😂😂
Yani perfect areas with high rainfall and high CBR soils barabara zinaoshwa yet they have no single photo lakini za Kenya kwenye arid areas ambako mchanga ni changarawe loose wamejaza humu mapicha. Halafu wakati wa repairs wanajaza zao zetu hawaweki. These guys are hateful hypocrites.😂😂😂
Sisi compass yetu tukitoka Tz huwa mara nyingi ina point South na sio near North maana huko ni matatizo tupu (Somalia, Kunya, south sudan, Ethiopia Djibouti na Eritrea)Sasa mtaenda wapi wkt Tz ndiyo ulaya yenu.
Umewapiga na rungu kubwa sa awa watu why wasiende uko somali wakapige maphoto wanakimbilia tz tuseme kila mkenya anazo ndoto za kufika Tanzania piga ua garagazaSisi compass yetu tukitoka Tz huwa mara nyingi ina point South na sio near North maana huko ni matatizo tupu (Somalia, Kunya, south sudan, Ethiopia Djibouti na Eritrea)
Hata nyie Wakunya hamuwezi kufikiria kwenda Djibouti Somalia Eritrea au South Sudan kwa leisure lazima compass isome South upende usipende. All these southern states we mentored them well before and after independence ndio maana mnaona wako civilized na wanajitambua.
Hamuwezi tututisha na hizo STS gantry crane tano kama peremende. 😂 😂 😂View attachment 2834509
Tishio la watopestan
Sio kwamba hatupendi kuwa na hizo picha bali hizo picha ni za kitambo sana, so ni ujinga kuweka picha za enzi za Moi au Kibaki wakati Ruto yupo. Mnatuwekea picha za enzi ya Mwinyi wakati sisi tunaweka picha recently 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂
Yani perfect areas with high rainfall and high CBR soils barabara zinaoshwa yet they have no single photo lakini za Kenya kwenye arid areas ambako mchanga ni changarawe loose wamejaza humu mapicha. Halafu wakati wa repairs wanajaza zao zetu hawaweki. These guys are hateful hypocrites.😂😂😂
Umekula kwanza.. 😁 😁Hamuwezi tututisha na hizo STS gantry crane tano kama peremende. 😂 😂 😂
Jifariji kwa azam biscuits sasa😁Hamuwezi tututisha na hizo STS gantry crane tano kama peremende. 😂 😂 😂
Awawezi ni kuwapa kipigo cha mbwa kokozOnly in Tanzania 🥰🥰😘😘🇹🇿🇹🇿🔥🔥
Shallow brain, huwezani na hoja za maana.Jifariji kwa azam biscuits sasa😁
Shallow brain ndio nini we manziShallow brain, huwezani na hoja za maana.