Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona hamkupost picha zenu za mafuriko humu? Mkishinda mkipost za Kenya yet now mnapost za Tz barabara zilizoharibiwa zikitengenezwa na hampost za Kenya zikitengenezwa.😂

Mimi nilidhani barabara zenu za chuma haziwezi haribiwa na mvua ya mafuriko.😂😂😂
mbona wewe usilete za kenya zikitengenezwa? umekaa kulalama kwetu ni mlima ndio ulileta dhahama na tope ndio lilileta tafrani kwenu je?
 
Pangani on the rise.

Image
 
Back
Top Bottom