ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,427
- 85,266
Umeulizwa 😎 😁 😛mere qualifying certificate of participation....last time mlipata 0 points
Sisi watanzania ni watu wa Southern Africa, tupo hapa EA kwasababu ya huruma yetu kuwabeba watu wasio na shukurani tu, ipo siku tutarudi kwa ndugu zetu wa South.Binafsi nashauri tungejitoa tu huku cecafa tukajiunga cosafa maana vigezo vyote tunavyo
1. Taifa Stars qualified Afcon 2024.
View: https://x.com/tanfootball/status/1699938384490201336?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw
2. Twiga Stars qualified WAFCON 2024
View: https://x.com/tanfootball/status/1732100519408042117?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw
3. Tanzania ndio the only team from the CECAFA Zone that have qualified for the last round of the 2024 Paris Olympic Football qualifiers.
View: https://x.com/tanfootball/status/1717561772058591471?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw
Nakuunga mkono...,, EAC inawachawi na siku zote mchawi uwa ataki maendeleo ya wengine watu wasio na shukrani wasio penda kufanya kazi kwao unga ni anasa pia kujenga magorofa ya udongo na kuyaita mighty tower supa modern magical... pia jeshi lao ni kama kikundu cha wavuta bhangi mbagala..Sisi watanzania ni watu wa Southern Africa, tupo hapa EA kwasababu ya huruma yetu kuwabeba watu wasio na shukurani tu, ipo siku tutarudi kwa ndugu zetu wa South.
Kila mtu ndani ya moyo wake anajua hilo.Huyu mama anapokea tu masifa ya uongo. Kuanzia ziara yake India mpaka huo uwekezaji ni matunda mazao ya Magufuli anavuna.
View attachment 2834190
View attachment 2834192
Piga mbwa hawa.. wenyewe wacheze ndondoz kwanza. pia waulize clubs za kenyasi topez kushiriki ligi ya mabingwa africa ni lini pia wakajitafuta kwenya lanks za ligi AFRIC alafu ndio waje kubishana umavizBado wakenya mnajilinganisha na Tz kwenye soka? Bado mnaamini Uganda na Kenya mnaizidi Tz kwenye soka? Mtakuwa wendawazimu, na hata hao wanaopanga ranks za dunia kwenye soka watakuwa wendawazimu wakii rank Tz below Kenya na Uganda.
We have the best football league in the region and one among the best football leagues in Africa.
Our national teams (men and women) have qualified for the African tournament.
For which reason can make you believe there's another East African country that is the best as far as football is concerned?
Whereas tanzanians have chosen hate and deceit towards Kenyans. We still visit tz and market it at zero fee. We are free willed people.
View: https://youtu.be/yamTcxWu5CQ?si=UGBsHVthlqlPFoS8
Hawa wapo wengi, Tz tuna wachezaji watoto wengi sana huko Spain na Uingereza, ni upumbavu na ubinafsi tu wa viongozi kushindwa kuwaita, wanapita pale airport mara kibao tu.
Taja mkenya mmoja aliye Real Madrid.Taja Mtanzania mmoja aliye Real Madrid. 😂 😂 😂
Nionyeshe barabara Tanzania ilioshwa yote kama hii hata pothole 1 tu 😅😅😅 na kwetu ni mudflow mass movement sio just floods kama kwenuMbona hamkupost picha zenu za mafuriko humu? Mkishinda mkipost za Kenya yet now mnapost za Tz barabara zilizoharibiwa zikitengenezwa na hampost za Kenya zikitengenezwa.😂
Mimi nilidhani barabara zenu za chuma haziwezi haribiwa na mvua ya mafuriko.😂😂😂
Nionyeshe barabara Tanzania ilioshwa yote kama hii hata pothole 1 tu 😅😅😅 na kwetu ni mudflow mass movement sio just floods kama kwenu
View attachment 2834455View attachment 2834456View attachment 2834457
You don't have arid regions in Tanzania, that's why. Meanwhile, nowhere in Kenya's non arid regions did we find this kind of tragedy. Yani Mahalo pazuri, mchanga wenye high bearing pressure na bado barabara zinaosshwa.Nionyeshe barabara Tanzania ilioshwa yote kama hii hata pothole 1 tu 😅😅😅 na kwetu ni mudflow mass movement sio just floods kama kwenu
View attachment 2834455View attachment 2834456View attachment 2834457
😂😂😂