Walienda kunusa kwapa za wa congo ๐๐walienda kunusa ugoro!
Do you understand the meaning of the word scaffolding?
Mtapost humu Hadi ndovu akinyamba (akijamba) Serengeti.
Bado hujasema Hadi useme ๐ฅ๐ฅMtapost humu Hadi ndovu akinyamba (akijamba) Serengeti.
hii nchi nahisi ndio mwenyenzi mungu aliiandaa sio bure nchi ya asali na maziwa. Ni nini TANZANIA tunakosa kwa uwezawake MWENYENZI MUNGU?Stay tuned Kwa breaking news Saa Tisa kasoro Noble Helium(NHE) wanatoa taarifa rasmi za uthibitisho wa kama wamegundua Helium kwenye visima vyao 2 walivyochimba Bonde la Rukwa vya Mbelele-1&2.
Vikifaulu kuwa Bull case itakuwa ugunduzi mkubwa zaidi na WA kutosha Kwa Ajili ya kuanza uzalishaji wa kibiashara yaani reserves yake inaweza fika 15.7Bcf(1/3 ya current global supply).
Nawakumbusha tuu kwamba Bonde la Ziwa Rukwa linakisiwa kuwa na helium gas reserves ya 176Bcf.
Hii ikifaulu itakuwa habari nzuri sana Kwa Tanzania.
View: https://twitter.com/Noble_Helium/status/1731576572086247572?t=mrUfoka9cpfAijYJ7e01ZA&s=19
Sijui kipasua anga hiki kitakuwa na urefu gani wadauKiwanja kipo yaani ni kuanza kuchimba tu hapo.
huyo nyangau anatafuta sehemu ya kuhalalisha walivyopigwa, sijui wana mtindio wa ubongo.
This one was born in Maasai Mara.Bado hujasema Hadi useme ๐ฅ๐ฅ
View: https://twitter.com/zoomafrika1/status/1731573167943037174?t=Ni80199E6yGi0zCMO4BArA&s=19
Mlima Kilimanjaro upo Kenya๐This one was born in Maasai Mara.
Tanzanite inachimbwa Merelani ,Kenya ๐๐This one was born in Maasai Mara.