Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maintainance how? Mlango unafunguka kama wa nyumba? Finish ya ndani wanatumia vitambaa vya sofa, body za vyuma vya ujenzi, yaan square pipes nk (muulize ahmed baada ya ajali waliona nn), kuna miaka tanzania tulipambana sana na bus zenye chasis za maroli hizo zote zina chasis za roli na kwetu huwezi pata usajili. Ndani zina siti za ajabu ajabu, kuna zile zenye body pana kuliko upana wa tairi za mbele, muulize raqeeb na gari zake sasa hivi zimebadilishwa route zinaingia vijijini huko sababu route za mikoa haziwezi tena kukimbizana na mashine za kisasa.
You are talking of what you don't know. Kenyan buses have bus chassis, kama mlikuwa mnatumia lorry chassis kutengeneza basi that's upto you. Again all buses in the world are made using square pipes but I don't expect you to know that😂😂😂. Hata hizo michina mko nazo zimetengenezwa kwa kutumia square pipes.
 
Uoneshwe ww kama nani 😅😅😅😅
Na kwann unaumia tulikwambia ATCL ni swala la muda tu na kilichokua kinaitia hasara ni madeni ya nyuma sasa yameisha
Siku utanionyesha financial statement ya ATCL ati wametengeneza faida ntahama Jamii Forum kabisa 😂😂😂

Ebu tuonyeshe barua insonyesha ati deni za ATCL zimeisha🤣🤣🤣
 
Tanzanian High School can only dream of this. Nangoja wale roho mbaya wakuje.
View attachment 2823816
Engine iko wapi au itaruka kwa nguvu za kiza?? Na watakaoirusha ni kina nani wagaga wa lamu au??😅😅😅😅😅
Screenshots_2023-11-25-09-09-53.png
 
Modern Coast is not even among the top 10 currently. Why are you dreaming? For EasyCoach, they have more buses kuliko top 5 Tanzanian bus companies combined 😂😂😂
Nimekuuliza ukitoa easy coach na modern coast nani mwenye bus nyingi kenya nitajie kampuni tatu tu nasubiria 😅😅😅😅😅😅😅
 
Siku utanionyesha financial statement ya ATCL ati wametengeneza faida ntahama Jamii Forum kabisa 😂😂😂

Ebu tuonyeshe barua insonyesha ati deni za ATCL zimeisha🤣🤣🤣
Uoneshwe ww kama nani ??? Kwanza nijib ww ni kama nani 😅😅😅😅😅😅

Unaumia kisa wenzako wanatengeza faida
 
Nimekuuliza ukitoa easy coach na modern coast nani mwenye bus nyingi kenya nitajie kampuni tatu tu nasubiria 😅😅😅😅😅😅😅
Ena Coach
Guardian Angel
Buscar
Dreamline
Mash
Nyamira Express
Honest
Tahmeed

All these companies are bigger than Tanzanian bus companies.
 
Back
Top Bottom