Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

China Geo wapo site along Bagamoyo Road, Msiwaambie ni BRT Phase gani in Mwenyekiti ichoboy01 Voice 😂


IMG_1917.jpeg



IMG_1918.jpeg


IMG_1921.jpeg
 
I wanted to let you know that nchi zote za Africa sasahiv zinafanya miradi mikubwa ya maendeleo, Nyie mpo hapa kuturingishia pavements. 🤣🤣🤣🤣,
Na siku mtakuja kuzinduka mtakuta kitu pekee mnatuzidi/mnazidi nchi nyingine za Africa ni hiyo fake jidipii tu mamaamae zenu nyie. NairobiWalker 🤣🤣🤣
 
i see how you are desperately throwing random photos of Kenya but this aerial view ya mwanza village..oh city or something still depresses me.theres no point of revenging and throwing photos of impoverished tanzanians...my one and only question is this,,,,are you contented with such living standards or you dread ccmu
 
Nchi zenye uchumi wenye nguvu hujipambanua namna hii! Toka nianze kuufutilia huu uzi hakuna mwaka Wakenya hawakulia njaa! GDP ya Kenya ukiifukunyua matokeo yake ni msiba. Ni ukweli mchungu majority ni watu fukara sana hata mlo ni mtihani kwao.
GDP ya tz is 80 billion........Kenya's is at 125 billion.......infact tz should be 80 minus 10 ya zanzibar.....so your big for nothing country is just at 70 or something.
 
Mwanza-City-3.jpg
Mwanza-City-2.jpg
Mwanza-City-1.jpg
Nchi zenye uchumi wenye nguvu hujipambanua namna hii! Toka nianze kuufutilia huu uzi hakuna mwaka Wakenya hawakulia njaa! GDP ya Kenya ukiifukunyua matokeo yake ni msiba. Ni ukweli mchungu majority ni watu fukara sana hata mlo ni mtihani kwao.
DO YOU GUYS EVER LOOK INTO SUCH LOWLY LIFE YOU LIVE.....Such horror scenes can never be found even in Mandera
 
And nothing to show of that $100 bln GDP of Kenya!
since your overrated zanzibar was given a thorough beating by Kilifi story ya zanziba illisha huku completely....hahaha.I keep telling you that its Kenyans that are resilient are growing the economy despite all the challenges.Villages sahii are receiving influx of money and mansions and executive bungalows coming up everywhere.We dont really depend 100% on government like you guys.Over 90% of tanzanians live very miserable lives but of course you will be defensive and post kibera...suit yourselves.I care less about tanzania......i have realized mnatosheka na kitu duni sana yaani cosmetic projects which impact nothing.
 
Back
Top Bottom