Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kigamboni City Project sio mradi wa decorations,ilikuwa ni mradi wa private sector acha kutetea ujinga wa mtu wenu.

Kama hufanyi decorations unajali returns Sgr ya Dar-Mwanza unajenga Ili ikasafirishe mzigo gani zaidi kuwa ni tembo mweupe?

Developers wangekuwa private sector sisi tungepigaje? Ukiambiwa Serikali ndio itatoa pesa kujenga Kigamboni?

Watu wenye mawazo ya kijinga na kijima na ya kijamaa mko wengi sana Bado na ndio mnakwamisha Tanzania hii.

Picha zote za majengo ya Dar mnayolingia humu ndani zilikuwa developed awamu ya Mkapa na JK.Wangekuwa na akili ya kindezi kama ya Mwendazake mngetoa wapi Cha kujivunia?

Nampongeza Samia Kwa kuwa totally opp na mawazo ya wajamaa ,she is business minded and friendly ndio maana mambo yanaenda smoothly bila visingizio wala kuvimba sura, mapovu na mihemko.

Tanzania Huwa tunapata viongozi wenye mawazo ya hovyo sana upande wa Wakristo(RC),utaona akitoka Samia atakuja mwingine atavuruga Kila kitu.

View: https://www.instagram.com/p/Czxe9_cIOyk/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==

ATC 767 haijaanza kupeleka cut flowers uholanzi bado au?
 
Mombasa is the biggest city the east coast of Africa after Dubarn
1000069753.jpg
 
Sasa wewe unasherekea mafuriko Mombasa? Nikuletee picha na video za dreamhouses zikinyimwa amani na mafuriko huko Dar?
Hayo sio mafuriko sasa ni majanga kaah robo tatu ya mji uko chini ya maji alaf ww ndio unapost barabara unatuambia kuna closed drainage??😅😅😅😅

Dar sehem inayotokea mafuriko ni jamgwani na sababu ni kubwa ndio mto unaopeleka maji baharini na soon panajengwa daraja la juu kabisa utapasahau na washasaini tayar
 
Sasa nyie nyang'au kuna haja gani ya kudai eti Mombasa ni moja ya majiji bora ulimwenguni?😁

View: https://m.youtube.com/watch?v=83iuzbr5n54

Robo tatu ya mji uko chini ya maji alaf wanashindanisha na mwanaa kwenye modern city 😅😅😅 niliwaambia mwanza ni mji wa kisasa sana huwez kuta mafuriko ya kipuuzi kama haya kuna drainage za kisasa, barabara za kisasa kila kona, bus terminal za kisasa, soko la kisasa kabisa etc
 
Last girder of Mteza bridge was casted. This is the last bridge among the three long bridges on this project. After the project is complete, Mombasa will have a better road network than DAR es Salaam
1000069749.jpg
6550cf4273b48.image.jpg
 
Back
Top Bottom