Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huko umeenda mbali sana.
Simu anayotumia tu utakuta ni made in China. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unaweza vipi kushindana na Tz likija suala la buses. Sio private sector wala public, kote huko hatushikiki. Heb cheki πŸ‘‡hizi BRT buses pekee are more 300. Hiyo ni kwa phase 1 tu.. phase 2, phase 3 and phase 4 are under way, while phase 5 n phase 6 soon zitaanza ujenzi. ichoboy01. Hawa vima hawatuwezi Leo na wala hawatotuweza kesho mana hizi basi hamna hamna hadi tumalize phase zote zitakua zimeshafika 3000+ wao wapo busy kutuonyesha vibasi 20. 🀣🀣🀣 Haya ukija mabasi ya masafa marefu Tz kuna Kampuni 100+ yani kwasasa Tz ukihesabu mabasi ya mkoa tu unaweza kuta yanafika 2500-3000. Na kampuni mpya zinasajiliwa kila siku. Kuna kampuni mpya nimeiona pale urafiki juzi, nikapata wasaa wa kupita maeneo yale nitapiga picha gari zao
 
Muulize mabasi mangapi yanapiga route za kunyaland? Sisi tuna sai baba , dar lux,dar express ,tahmeed na kidia one hawana huo uwezo ni maneno maneno tu! Tuache hayo mazingira ya wenzetu mtihani kwa kweliπŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“
 
Sijawahi kuona wala kuskia any Kenyan bus company yenye route za kuja Bongo. Probably hakuna. 🀣🀣🀣
 
😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
 
Tazama tope hilo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… muda wowote ngoma inasujudu
 
Wapi za Ukunyani? Level yenyu ni Isuzu chassis Tuzo mini buses! Hamna kitu mnajua Fly540 saahii ipo bankrupt!
We Tanzanians trust Scania and Merc models for long safari because they are comfortable, reliable halafu zinatembea sana. Of late Chinese especially Yutong has proven its worth on Tanzanian roads and terrains, maintenance is also affordable.
 
Kuna mtaa unaitwa umoja Sijui, huyu kima Nicxie alipost in comparison to magomeni.. huo mtaa ni full of that kinda buildings, matope thing. 🀣🀣 Take a look πŸ‘‡πŸ€£πŸ€£πŸ€£ Dah.!! Cheapest mult storeys buildings on earth.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…