Hivi we jamaa huaga unajielewa? Tofaut ya muundo wa hiyo na ena ni iPi?China anatengeneza chochote lakini mabasi wanauzia Tanzania ni fake. Hii ni Marcopolo G7 ya aina gani Sasa? Face ni Marcopolo and the rest of the body ni Zhongton πππ
View attachment 2812364
Fake manake sio engine ya scania fake maana yake nini ???π π ππππ yani marcopolo aipitishe alaf ww canopy boy useme fake ukimaanisha nn??? Alaf sub scania ndio aziuze alaf iwe fakeThat's a fake Marcopolo kijana. China sold a fake bus to your investors πππ
Kubali mliuziwa Marcopolo fake. There's something called standardization, it means everything has to be similar. Even the subcontractor has to produce a similar product to the original one. Ama unataka nikuonyeshe other Marcopolo buses made in China but is original with standard Marcopolo features? Kwanza hiyo Katarama pia ilinunuliwa second hand and the fleet also contains some fake Marcopolo πππYani ww ni vichekesho umesema body is marcopolo engine scania sasa ulitaka body ya china na south africa ziwe sawa ??
Wao wanatengesa body under marcopolo lecense na haziwez kua sawa unavotaka kwenye akili yako
Hii ni moja ya marcopolo from south africa
View attachment 2812392
The meaning of fake here is that the bus China sold to Tanzanians didn't follow the standard Marcopolo features for Marcopolo G7 Viagio 1050 buses. That's where fake is coming from. Yani unapewa hybrid ya Zhongton na Marcopolo face and you are celebrating ππππͺFake manake sio engine ya scania fake maana yake nini ???π π ππππ yani marcopolo aipitishe alaf ww canopy boy useme fake ukimaanisha nn??? Alaf sub scania ndio aziuze alaf iwe fake
Usijifanye kipofu. Side windows za hizi buses mbili zinafanana?πππHivi we jamaa huaga unajielewa? Tofaut ya muundo wa hiyo na ena ni iPi? View attachment 2812391
Na mm nakujibu marcopolo iliochina ina license ya kutengeza marcopolo body ndio maana hata bus zao zimeuzwa na sub scania tanzania π π π π ww kinachokuuma sana ni tanzania kuwazidi kwenye kila jamboichoboy01 najua huelewi tofauti ya body builder and chassis builder. Marcopolo is bus body and doesn't relate to Scania. There are MAN Marcopolo, ISUZU Marcopolo, VOLVO Marcopolo, Mercedes Morcopolo etc.
Volvo Marcopolo
View attachment 2812406
Man Marcopolo
View attachment 2812407
Mercedes Morcopolo
View attachment 2812408
Hakuna kitu kinaitwa fake alaf jina official ikatumika marcopolo ambayo ilikozalishwa china kwenye marcopolo assembly π π π πThe meaning of fake here is that the bus China sold to Tanzanians didn't follow the standard Marcopolo features for Marcopolo G7 Viagio 1050 buses. That's where fake is coming from. Yani unapewa hybrid ya Zhongton na Marcopolo face and you are celebrating ππππͺ
Kwa hiyo sababu madirisha ni tofaut unasema ni fake sindio?Usijifanye kipofu. Side windows za hizi buses mbili zinafanana?πππ
Side Windows of Marcopolo fake.
View attachment 2812411
Side Windows of Marcopolo original
View attachment 2812412
Acha sasa turudi kwa Katarama. I want to show you that it also a fake Marcopolo πππ.Na mm nakujibu marcopolo iliochina ina license ya kutengeza marcopolo body ndio maana hata bus zao zimeuzwa na sub scania tanzania π π π π ww kinachokuuma sana ni tanzania kuwazidi kwenye kila jambo
Hakuna kitu kinaitwa fake kwenye bus unless hzi hapa π π π ππππππ
View attachment 2812413View attachment 2812414
Do you know what standardization is? Please look for pictures of Marcopolo G7 Viagio 1050. Utapata all the buses has similar window design. Hizo za Higher na Golden Dragon are only available in Tanzania. Hata China enyewe hutapata those funny looking Marcopolo πππKwa hiyo sababu madirisha ni tofaut unasema ni fake sindio?
Hujaiona simu fake with the official brand name?πππHakuna kitu kinaitwa fake alaf jina official ikatumika marcopolo ambayo ilikozalishwa china kwenye marcopolo assembly π π π π
Alaf ikaletwa na sub scania tanzania alaf waiuze wao iitwe fake kwanza leo nimecheka sana eti ours are not fake π π π π π
Me naona hii battle huyo chizi utabishananae hadi kiama, since ameshaona hawatuwezi likija suala la buses basi anatafuta sababu ili na wao waonekene relevant. Bogozo hilo. π€£π€£π€£Hakuna kitu kinaitwa fake alaf jina official ikatumika marcopolo ambayo ilikozalishwa china kwenye marcopolo assembly π π π π
Alaf ikaletwa na sub scania tanzania alaf waiuze wao iitwe fake kwanza leo nimecheka sana eti ours are not fake π π π π π
Nimekuuliza swali iphone zote zinatoka china nioneshe iphone fake and cheap inauzwa wapi π π π π ww kenya kuna kitu gani hamutumii kutoka chinaHujaiona simu fake with the official brand name?πππ
π€£π€£π€£ Mjomba umekula Kichapo cha buses saivi umekuja na excuse za eti Chinese car brands ni cheap, mara ooh car brands tunazonunua ni fake. π€£π€£π€£Hizo ni ishara za kushindwa. Move on boi.. likija suala la buses sisi sio level yenu. You are at least 30 years behind.Hujaiona simu fake with the official brand name?πππ
Huyu mm namjua sana hua anaumia sana tena sana kuhusu tanzania si unaona siku hzi haongelei tena extended canopy tayar dawa ilishamuingia π π π πMe naona hii battle huyo chizi utabishananae hadi kiama, since ameshaona hawatuwezi likija suala la buses basi anatafuta sababu ili na wao waonekene relevant. Bogozo hilo. π€£π€£π€£
Nyinyi ndio wapumbavu, mnadhani Scania bus ni body. Scania buses types ni hizi hapa.
F360 4Γ2
F360 6Γ2
F310 4Γ2
F310 6Γ2
F250 4Γ2
Huyo mjomba amekula kichapo mpaka eti anambeza mchina, eti anatengeneza vitu fake. π€£π€£π€£π€£ What a lame excuse.?Nimekuuliza swali iphone zote zinatoka china nioneshe iphone fake and cheap inauzwa wapi π π π π ww kenya kuna kitu gani hamutumii kutoka china