KOMANDO YOSO
JF-Expert Member
- Sep 7, 2023
- 819
- 2,864
Mnayo iyo BRT sasaππππ
Hawawezi kupush mambo yao bila kuitaja TanzaniaSi mnapenda kuitaja taja Tanzania!
View: https://x.com/railajunior/status/1721543194142204118?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw
Kenya tulichoka na SGR tangu 2017. Danganyika bado hamjwahi experience SGR yani miaka 7 baadaye. Must be sad to be a Bongolala.
Angalia barabara kwenye mtaa wenu wa 'kifahari' kuliko zote MasakiQuality za Barabara Ukunyani hebu angalieni zilivyo nyembamba!
Hakuna lanes demarcation hakuna sidewalks!
View: https://twitter.com/_Mwangi_1/status/1721206089671147742
Nakuona unajisumbua na malamani yako ayo vipi umepata cha usiku π π ππππAngalia barabara kwenye mtaa wenu wa 'kifahari' kuliko zote Masaki
View attachment 2806360View attachment 2806361View attachment 2806362
Angalia zilivyo na lami ya hali ya juu, ni pana, ziko na demarcations, na pia sidewalks
Mchina hatoona mlango wa pepoπ π π
Weka picha ya hiyo Electric Loco ya kunya land.View attachment 2805606
zenu za hali ya juu zimebeba mizigo tani ngapi au zmebeba abiria millioni ngapi?
Anayejisumbua ni huyo kilaza mwenzakoNakuona unajisumbua na malamani yako ayo vipi umepata cha usiku π π ππππ
It's them who are actually admiring and posting our league matches. This isn't done by ordinary folks, but their highly respected media personalities.Cameroon, Senegal, Mali, Nigeria, Togo etc. are all footballing countries ranked higher than TZ.
Yet they're even bigger shitholes. π π π
Kazi yenu imekuwa kila siku kupost video za mpira wenu, kwani hamna mengine yanayofanyika nchi? ππ
We nawe kila tukio Kenya unaleta humu. Sasa ni nini cha ajabu hapo? Ama Tanganyika ajali kama hizo hazifanyiki?Punda imechoka imeamua kulala π π π
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1721446171367862354?t=tIT2s6lzTaR312xMrF4ACA&s=19
Nilikuwa nakunywa kawine changu, nimepaliwa kwa hili povu π€£π€£We nawe kila tukio Kenya unaleta humu. Sasa bi nini ajabu hapo. Ama Tanganyika ajali kama hizo hazifanyiki?
Alafu angalia watu wa Marakwet ndio hao wako karibu kuvuna mahindi. Lakini kila siku hapa tunaambiwa Tanzania unalisha Kenya. Ama hizo mashamba zinamilikiwa ma watanzania?
Ukweli ni kwamba wanaiogopa sana TzππHawawezi kupush mambo yao bila kuitaja Tanzania