Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

KDF ni kituko cha kimataifa 😂😂😂😂
Sijawai kuona kikundi cha wanamgambo cha kipumbavu kama KDF ndio maana DRC wamefukuzwa kama mbwa 🤣🤣
KDF tuwape sungusungu wa uku BONGO wawanyooshe kidogo ila KDF ni kikundi tyu cha wauni kazi 😎 😎 😉 😉 😛 😛
 
Wewe unajua hilo ni jengo gani!?
Usiwe ovyo hivi. Jengo unaongelea hata hulijui!!
Ok tel me from 2018 mpaka leo 2023 ni miaka mingap au ww unafkiri mm mgeni kenya??🤣🤣🤣🤣 mumtaz tower hio sijaanza kuona leo hilo jengo linesimama muda mrefu sana pale tudor

Screenshots_2023-11-02-10-08-51.png
 
Kuna shule Tanzania wana school busses nyingi na ghali kuliko hivi vituko vyenu, wakundustan ninyi washamba sana, 1 local investor huku ananunua busses 40 at a blink of an eye na hahitaji hii PR yote
Unacompare takataka cheap za diesel na electric.
Uko sawa kweli ?
Ata izo shule unataja hapa hazina stima 24/7 ,electric buses ndio wataweza????
 
Kuna miradi ifuatayo ambayo pengine Kunya nzima hakuna
-Ujenzi wa SGR Tabora-Kigoma (Main Camp ni Uvinza?
-Ujenzi wa Station Kubwa ya Sgr Kigoma mwisho wa reli
-Ujenzi wa Barabara za lami za kuunganisha na Mikoa na Nchi jirani zaidi ya km 420
-Street roads za Km 11 Mradi wa Tactic plus mitaro
-Upanuzi wa uwanja wa ndege plus new terminal building
-Upanuzi wa Chuo Cha Taifa Cha Hali ya hewa Kigoma plus radar installation
-Ujenzi wa Tawi la Chuo Kikuu Cha Muhimbili
-Ujenzi wa Hospital ya Kanda ya Magharibi Kigoma
-Ujenzi na upanuzi wa Bandari ya Kigoma na Lagosa
-Ujenzi wa meli Mpya na Kiwanda Cha kuunda meli
-Ujenzi wa Chuo Cha TIA Kampasi ya Kigoma
-Ujenzi wa One Stop Inspection Centre Mpakani na Burundi
-Ujenzi wa Mradi wa Umeme wa Kv 400 Nyakanazi-Kidahwe
-Ujenzi wa Tawi la BoT Kanda ya Magharibi

Kiufupi Kigoma ni 🔥🔥.Waswahili wanasema Chelewa ila ufike

View: https://youtu.be/E_M9j_lx28g?si=rSHBtKzypdSbtxKK

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Bandari mpya ya kisasa on lake Tanganyika pia.
 
Back
Top Bottom