Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hilo ni povu sasa. Ni dalili katika kiwango cha juu cha wivu. Wakenya mna wivu sana mkizidiwa mnaanza kulia lia na kususa kama wanawake wenye mimba kwikwikwikw...
Wivu ni ya waafrika kusini tu na Morocco...sio nchi LDC😀😀😀
 
Sasa mbona serikali yenu ilikuwa inalialia? Mmekuwa kama watoto
serikali ilikua inaangazia masilahi ya wananchi wake..thats the job of every government....haimaanishi kuwa tunawaabudu nyie ma LDC
 
serikali ilikua inaangazia masilahi ya wananchi wake..thats the job of very government....haimaanishi kuwa tunawaabudu nyie ma LDC
So mnaangazia maslahi ya raia zenu hata wanapovunja sheria huo si wehu. Kwanini msiwafundishe raia zenu.
Nyie wakenya kichwani ni mapunguwani. Halafu kila wakati mlikuwa mnaimba milima kilimanjaro upo kenya. Hivi mnategemea sisi tulikuwa tunawachukulia poa tu. Am telling for sure kikombe mlichokuwa mnatumia mtakinywea na tena bado. Mtajua what is TZ. Sisi tuko vizuri sana tukiamua kuwapoteza mtapotea very soon.
1. Tumemtoa nduli Idd Amin Dadaa Uganda
2. Tumewang'oa M23 Congo
3. Tuliwafukuza wareno Mozambique
4. Tuliwakomboa SA kutoka makucha ya makaburu
5. Tuliwasabaratisha walikuwa wameivamia Seychelles
6. Tulikomboa Comorors
7. Tulimsimamia Mugabe mpaka akapata uhuru Zimbabwe
8. Kagame kapata mafunzo TZ
9. Museven kapata mafunzo TZ
10 . Kabila kapata mafunzo TZ
Tukianza umafia tunaweza kuwapoteza.

Tanzania ni Moja na Umoja wetu ni ushindi. "Ujamaa kwanza"
Tanzania Oyee
 
serikali ilikua inaangazia masilahi ya wananchi wake..thats the job of every government....haimaanishi kuwa tunawaabudu nyie ma LDC
Tumewanyang'anya mradi wa bomba la uganda
Sasa hivi tunawafanyia umafia wa kiuchumi. Mtakoma kikombe mlicho tumia mtakinywea hakika. Nyie wakenya ni puppet wa wazungu.
 
Tumewanyang'anya mradi wa bomba la uganda
Sasa hivi tunawafanyia umafia wa kiuchumi. Mtakoma kikombe mlicho tumia mtakinywea hakika. Nyie wakenya ni puppet wa wazungu.
sawa lakini msisahau kuwakujia omba omba wenu waliojaa jijini Nairobi...
 
So mnaangazia maslahi ya raia zenu hata wanapovunja sheria huo si wehu. Kwanini msiwafundishe raia zenu.
Nyie wakenya kichwani ni mapunguwani. Halafu kila wakati mlikuwa mnaimba milima kilimanjaro upo kenya. Hivi mnategemea sisi tulikuwa tunawachukulia poa tu. Am telling for sure kikombe mlichokuwa mnatumia mtakinywea na tena bado. Mtajua what is TZ. Sisi tuko vizuri sana tukiamua kuwapoteza mtapotea very soon.
1. Tumemtoa nduli Idd Amin Dadaa Uganda
2. Tumewang'oa M23 Congo
3. Tuliwafukuza wareno Mozambique
4. Tuliwakomboa SA kutoka makucha ya makaburu
5. Tuliwasabaratisha walikuwa wameivamia Seychelles
6. Tulikomboa Comorors
7. Tulimsimamia Mugabe mpaka akapata uhuru Zimbabwe
8. Kagame kapata mafunzo TZ
9. Museven kapata mafunzo TZ
10 . Kabila kapata mafunzo TZ
Tukianza umafia tunaweza kuwapoteza.

Tanzania ni Moja na Umoja wetu ni ushindi. "Ujamaa kwanza"
Tanzania Oyee
baada ya kusoma sentensi ya kwanza nimechoka...porojo peleka Tandale...LDC country hakuna kitu inaweza tuambia EA largest economy
 
sawa lakini msisahau kuwakujia omba omba wenu waliojaa jijini Nairobi...
Tumieni sheria kuwafukuza kama kweli wapo. Halafu hizo ni propaganda za kitoto. Tunawabinya mpaka mtakoma mpaka 2020 mtajua what is TZ.
 
Tumieni sheria kuwafukuza kama kweli wapo. Halafu hizo ni propaganda za kitoto. Tunawabinya mpaka mtakoma mpaka 2020 mtajua what is TZ.
Pwahahahaha 2020 kuna nini? nilidhani ilikua 2025...sasa ni 2020...don't be petty...our economy is not moving backwards
 
Pwahahahaha 2020 kuna nini? nilidhani ilikua 2025...sasa ni 2020...don't be petty...our economy is not moving backwards
GDP growth Tanzania
tanzania-gdp-growth-annual.png

Tanzania GDP Annual Growth Rate | 2002-2017 | Data | Chart | Calendar

kenya-gdp-growth-annual.png

Kenya GDP Annual Growth Rate | 2004-2017 | Data | Chart | Calendar

Kwikwikwi soma hapo statistics dogo acha uzembe wa wakenya.
 
Pwahahahaha 2020 kuna nini? nilidhani ilikua 2025...sasa ni 2020...don't be petty...our economy is not moving backwards
Kwikwikwi acha kabisa usinichokoze dogo:

Inflation Rate
tanzania-inflation-cpi.png

kenya-inflation-cpi.png
 
Pwahahahaha 2020 kuna nini? nilidhani ilikua 2025...sasa ni 2020...don't be petty...our economy is not moving backwards

Kenya recorded a trade deficit of 102628 Million KES in August of 2017. Balance of Trade in Kenya averaged -40148.93 Million KES from 1998 until 2017, reaching an all time high of -2175 Million KES in June of 1999 and a record low of -119463 Million KES in September of 2014.

kenya-balance-of-trade.png

Tanzania recorded a trade deficit of 132.80 USD Million in May of 2017. Balance of Trade in Tanzania averaged -283.44 USD Million from 2006 until 2017, reaching an all time high of 139.40 USD Million in March of 2006 and a record low of -767.50 USD Million in March of 2014

tanzania-balance-of-trade.png
 
Annael thinks like Osei Tutu
Current Account
Kenya recorded a Current Account deficit of 5074.30 USD Million in July of 2017. Current Account in Kenya averaged -361.16 USD Million from 1994 until 2017, reaching an all time high of 159.86 USD Million in February of 2006 and a record low of -5074.30 USD Million in July of 2017.

kenya-current-account.png

Tanzania recorded a Current Account deficit of 183.20 USD Million in May of 2017. Current Account in Tanzania averaged -262.61 USD Million from 2006 until 2017, reaching an all time high of 284.40 USD Million in February of 2015 and a record low of -780.20 USD Million in March of 2014.

tanzania-current-account.png
 
Back
Top Bottom