The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Ukweli upi? Fuatlia thread kwanza usivamie bila kupitia vya juu.Mi mbongo mkuu nipo dsm ila napenda kusimamia ukweli
Nakuambia fuatlia kwanza, wacha kuparamia mambo, hii thread imeanza 2017, ina miaka mi5 sasa wkt huo wewe haupo.Saivi mnadeal na nn?
We njuka karibu. Kua mpole humu Hatujadili habari za vizijiweni, humu facts tu. Huna facts wacha kuongea fantasies.Mi mbongo mkuu nipo dsm ila napenda kusimamia ukweli
Hao chokoraa kulikoni !!!!!Ulinzi FC Stadium
View attachment 2797598
HAHAHAHAHAHAAAAA TZ ni SI Unit kwao TOPESTANHii kitu tumemaliza, ni hivi ili Kenya iwe relevant ni lazima ijipambanue na Tanzania, hii sasa imetambaa toka kwenye country to individual levels. Hadi wasanii wa Kenya ili awe relevant ni lazima ajilinganishe na Wasanii wetu, ila sijawahi sikia msaani mkubwa wa bongo anajilinganisha na msaani wa Kenya, tumeona juzi ile bouncer na stunts za Bongo, yaani inajua Bongo music industry kuliko inajua ya Kenya, ile masikio kigeugeu eti nayo inasema imewahi kuwa kubwa kuzidi Diamond na Alikibaβ¦β¦..wonders shall never endπ π π
Anyways, kiufupi Bongo ndio SI Unit ya maisha ya Kenya, kila kitu wanafanya kuangalia Tanzania inafanya nini, yaani ni kama bila Tanzania Kenya haipo, na huu ndio ukweli. Au mnabisha tuzime data?π€ͺπ π
Uku TZ gari ikiwa mbovu na mwonekano ni mbaya watu awapandiEven uchafu bus stand ni ardhi ya mtu binafsi hahahaha nchi imelaaniwa na nani??
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Malori yanakula vichwa vya watu waliochanganyikiwa na maisha
View: https://twitter.com/ntvkenya/status/1718855861828002132?t=UWyJ5KrOmXinJXH_2fFSrQ&s=19
View: https://twitter.com/NationAfrica/status/1718855466892021815?t=TZCG9v8esABxjXzSBudpAw&s=19
Ukweli gani?πMi mbongo mkuu nipo dsm ila napenda kusimamia ukweli
Ifike mahali tuwaonee huruma hawa kondoo.
Ona namna serikali yao inavyo wapa vichapo. πππ
View: https://x.com/kinjeketile/status/1718904534792110453?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw
Kabali yenu kunyan tushajua iko wapi πI just ordered this book on amazonβ¦..am very curious on the part about his ailing β¦ hopefully I will see something about the airlift to Nairobi hospitalβ¦π€£π€£π€£View attachment 2798360
Zote hizi ni Magufuli alinunua. Mama kafanya last payments tu ya hizi ndege TANO, ya mozigo, na ile Max. Max nyingine iko jikoni pamoja na dreamliner na pangaboi kama sikosei.Tusisahau jamen. Hii ni matunda ya mama πππ
View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1719021338000556359?t=3jAsnfCtX_QMmvP4sEEUMQ&s=19
Uwanja uko kwenye ukarabati mkubwa na utamalizika August July, 2024. Mwache ajifurahishe.Wewe ni mpumbavu ngazi unaita unaita seats? So unataka the stairs za plastic au mbao?
Unayejidharauππ...na pia mm mtanzania ...
Mbona usitaje Kenya, Nigeria na Ivory coast ndio zimeshikilia nafasi ya 1,2,3?π Vitu za kawaida kwetu ni miujiza kwenu.πTusisahau jamen. Hii ni matunda ya mama πππ
View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1719021338000556359?t=3jAsnfCtX_QMmvP4sEEUMQ&s=19
Ndio maana wanashinda wakiyapost. Rare sights.πMimi ni mtanzania ila ukweli usemwe hizi range kanda ya kaskazini (arusha, moshi, n. K
) ipo hii moja tu ya William tarimo basi huku dar zipo 5 tu bongo nzima haizidi 7 approx.
Kwa research yangu ila kenya haya mandinga ni mengi sana aseeh ukweli use
Mmekuwa mkilaunch for the past 5 years bado mnalaunch tu.πEACOP Tanzania ndio lion's share owner, NairobiWalker ulisema huu mradi utaanza 2030, hapa vipi?
View: https://www.youtube.com/live/f8CMzymCTxI?si=5wNIo-5-OpxZYAL3