Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This pipe will connect West pokot dam to Kapenguria and Kitale towns for water supply.
I can name construction sites all over the country.
We do our stuff silently
Even most Kenyans in here don't know all of the projects under construction. Most people focus on the cities
IMG_20170629_111811.jpg
 
We do our stuff silently
Even most Kenyans in here don't know all of the projects under construction. Most people focus on the citiesView attachment 633110

Yeah, Even us, LOTS OF PROJECTS IN TZ TOO

see our Water project here

Mioundombinu hiyo inayoboreshwa ni pamoja na bomba la Ruvu Chini lenye urefu wa Jumla ya km 55 ambapo hadi sasa km 52.6 zimekamilika na zimebaki km 2.4 ili kukamilisha mradi huo ambao utasaidia kusimamia moja ya sentensi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ya “Kuwatua akina mama ndoo za maji kichwani”

Just look at the pipe size

08.jpg



02.jpg



06.jpg



03.jpg





 
umemjibu vizuri sana.
tatizo hawa jamaa huwa hawazijui silaha tunazotumia katika hii battle.

wao kila siraha wanayojaribu kuitumia ili kutu-naturalize inafeli.

kwa mfano walijaribu kutumia silaha ya kutuita LDC,hii imeshindwa kuleta effect kwasababu tuliipokea lakini baadae tukaigeuza kama sehemu ya kukubari kuwa kweli sisi ni LDC na wala haitumii kuwa hivyo.matokeo yake kila wamapotuita LDC sisi hatuonyeshi kukasirika.

ila sisi tukiwawekea wao picha za kibera wanakasirika sana....wanatoa machozi mengi mithiri ya mtoto mchanga.

naona siku hizi wamehamia kwenye siraha ya kutukusoa kuhusu kingereza.hiyo nayo imefeli.tunawachakaza hivo hivo na broken english yetu.

waibie siri kuwa moja ya siraha zetu tunazotumia kuwalegeza miguu wanapojaribu kujitutumia ni zile picha za kibera kwasababu tushatambua ni namna gani zinawatesa kila tunapo zi upload.
Yaani hawa jamaa ni wepesi sana battle hawawezi. Sasa hivi wanalialia tu.
 
download.jpeg

Kenya bado mnatembea na aya madaftari au mmesha iga Tz KUWA na electronic DL
 
Back
Top Bottom