Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Itoshe tu kusema kuwa Mwanza International Airport ndio runway ndefu zaidi Tanzania.

Uwanja ukikamilika unatarajiwa kuwa wa pili kwa ukubwa baada ya Julius Nyerere Int Airport

Msalato Int Airport nayo iko mbioni
Swadakta
 
Jamani basi mtawaua kwa msongo wa mawazo.

Sifa moja wapo ya dar ni kubwa sana.halafu inajengeka kwa kasi kimya kimya.sijui 10 yrs to come,ndugu zetu tutakuwa tunawakatia kipande kimoja ktk dar wapambane nacho,let say may be kigamboni, temeke au kinondoni.
 
Ndio hii wameongeza 500m naona wameanza mpaka kutengeneza drainage systems
IMG_0970.JPG
 
If you wish to explore The beauty of southern Tanzania,
Then Tz SGR, Tazara Built in 1970's will be the best option,
It passes through the World's Largest Game reserve, Selous Game reserve
 
Wakenya wajue sisi hatutanii Dar inabadilishwa kwa kasi na itakuwa kama "guangzhou"
 
Back
Top Bottom