Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sawa, lakini usilete flyover tena hapa na kuiita maendeleo...utanishangaza..flyover ni barabara tu...tofauti ni kuwa imeinuliwa juu kwa kutumia pillars...Africa zipo zaidi ya 100
Kwikwikwikwi. Hivi dogo maendeleo maana yake ni nini? hebu ondoa ushamba wako wa Kibera

Slums%20in%20Nairobi%2C%20Kenya_0.JPG
 
pole sababu naona umeumia...Kibera ina uhusiano upi na mada😀😀😀narudia tena, flyover Afrika zipo zaidi ya mia moja...hata nchi kama Somalia zipo...flyover ni barabara tu iliyoinuliwa kwa kutumia pillars...😀😀
 
pole ila naona umeumia...Kibera ina uhusiano upi😀😀😀narudia tena, flyover Afrika zipo zaidi ya mia moja...hata nchi kama Somalia zipo
Nimekuuliza maendeleo maana yake ni nini? Kijana wa Kibera.
 
nadhani unaelewa maana ya neno hilo...ila pengine nikukosoe kidogo...kuna maendeleo ya kuleta kwa battle kama hii ama ya kujivunia na kuna maendeleo ya kuficha chini ya mkeka....sio kila uchao ukinunua chupi mpya unakimbilia kuwaalika wageni msherehekee kwa vifijo na nderemo kisa chupi mpya haina shimo...😀😀😀
 
kwikwikwi. Ndio tatizo lako sasa. Tunapambana mimi na wewe halafu unataka unishagulie silaha ya kukupigia. Je, nikikuita mwehu nitakuwa nimekosea?
 
sijui sasa ila nadhani message imefika...flyover=chupi mpya=nothing to celebrate about😀😀😀hizo tabia za kujipendekeza
 
kwikwikwi kama hebu angalia kwanza thread hii ipo na views ngapi? Halafu jitafakari wewe kisha uje hapa. Vilevile soma thread hii inahusu nini isome na uielewe. Halafu ujue niliandika thread hii na kuku tag wewe. Naona umezidiwa umeanza kujitoa ufahamu. Vipi dogo umekula lakini? Au umekuja kuleta messages?
 
75b, 84b, 90b, 100b, tupe miaka tano, sisi tulitoka LDC for a reason
Mlitoka LDC kwa makaratasi sio kiuhalisia😀😀
Kiuhalisia bado sana kwanza pambaneni na hali zenu muondoe umasikini/poverty mlionao amabayo sijawah kuuona toka nimefungua macho kwenye ulimwengu huu
 
flyovers, port expansion and vibandas...this is what Tanzanians term as serious development...🙁🙁🙁🙁🙁saddening really...these things Kenya had them more than 10 years ago and not just Kenya, many countries have these things....miafrika bana tunatia huzuni🙁🙁🙁 yaani mtu anataka asherehekee mpaka ujenzi wa flyover? Mungu wangu! ukimruhusu hata atasherehekea jinsi alivonunua chupi mpya hivi majuzi...😀😀😀😀
Maneno ya mkosaji
 
Kenya hamna food security, no ajabu kujiita D.C. ilifaa msolve ilo jambo kwanza nakuondoa excuses zisizona msingi!!

Well Tz watu wengi hawajishughulishi ipasavyo,tatizo me makazi duni nahata chakula wakati mwingine ni taabu kwa wale wasiojituma ,Sera ya kilimo kwanza ingekaziwa tungekua mbali sana...

Sera ya viwanda ilifaa iende sambamba na kilimo Yaani kama chupi na tako! !
 
Ulifkiri flyover inajengwa na majani au???? Unajua sometimes bro hua sikuelewi hebu tuliza akili 😀😀
 
Leo ukame wa njaa unawaendesha miezi 7 hawana suluhisho lolote watu na mifugo inakufa kukosa chakula alaf anakwambia wako DC...ajira kwa vijana hakuna, below povert line kenya iko high kuliko nchi yoyote afrika mashariki
 
Ilifaa wajikite katka kutafuta suluhu u mambo hayo...watanunua mahindi hadi lini na ardhi wakonayo....mifugo itakufa hadi lini mwishowe waanze kuvuka boda tukiikamata waanze kuleta maneno maneno
 
Ulifkiri flyover inajengwa na majani au???? Unajua sometimes bro hua sikuelewi hebu tuliza akili 😀😀
sawa ndugu nimetuliza.🙂🙂.wewe nakuskiza sana..ila mambo ya kusherehekea vitu vya kawaida tafadhali usifate mkondo huo....mchanue huo mshamba anayeimba imba flyover kwa niaba yangu bro😀😀
 
Yaani kama chupi na tako! !
nimependa hio statement...ila kwa food scurity, bila shaka ni wanasiasa wetu wanatuangusha...yaani kwa sasa kunafaa kuwa na dam kubwa kule maeneo ya Marsabit na Turkana itakayotumiwa kuzalisha chakula na kusaidia mifugo wakati wa kiangazi...kama tu sio ufisadi uliokithiri na kusheheni ktk serikali ya Kenya, wakenya ni watu wenye bidii sana...hatukufikia hapa tulipo EA largest economy kwa kukaa chini...tulipigania especially since hatuna rasilimali tele...hivyo hilo jambo la food insecurity nakubaliana nawe ailimia 101...
 
Back
Top Bottom