Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwikwikwikwi. Hivi dogo maendeleo maana yake ni nini? hebu ondoa ushamba wako wa Kibera

Slums%20in%20Nairobi%2C%20Kenya_0.JPG
Kutuma picha ya kibera ni kuonyesha kushindwa....kwani umekosa picha za dar???
 
Ilifaa wajikite katka kutafuta suluhu u mambo hayo...watanunua mahindi hadi lini na ardhi wakonayo....mifugo itakufa hadi lini mwishowe waanze kuvuka boda tukiikamata waanze kuleta maneno maneno
Tena awamu ya magufuli wanaijua ndio maana wanaogopa hata kuvuka kuja tanzania😀😀😀😀
 
sawa ndugu nimetuliza.🙂🙂.wewe nakuskiza sana..ila mambo ya kusherehekea vitu vya kawaida tafadhali usifate mkondo huo....mchanue huo mshamba anayeimba imba flyover kwa niaba yangu bro😀😀
Maendeleo yoyote yanatia faraja kwa wananchi lazma mwananchi afurahi kuona serekali yake ikiwajibika
 
nimependa hio statement...ila kwa food scurity, bila shaka ni wanasiasa wetu wanatuangusha...yaani kwa sasa kunafaa kuwa na dam kubwa kule maeneo ya Marsabit na Turkana itakayotumiwa kuzalisha chakula na kusaidia mifugo wakati wa kiangazi...kama tu sio ufisadi uliokithiri na kusheheni ktk serikali ya Kenya, wakenya ni watu wenye bidii sana...hatukufikia hapa tulipo EA largest economy kwa kukaa chini...tulipigania especially since hatuna rasilimali tele...hivyo hilo jambo la food insecurity nakubaliana nawe ailimia 101...
dams and irrigation schemes are under construction all over the country. tembea ujionee
 
it might be true, but why are we still dying of hunger?...no life...even just one life should be lost because of hunger...i hope hizo dams zikiisha zitamaliza njaa sababu ni aibu...it is what these LDC ppl use all the time against us to win arguments...and they are right...how can we pride ourselves of being the region's largest economy while our ppl in Turkana are dying of hunger and malnutrition? these people including Ug and Tz might be LDC countries, but atleast they can boast of food security...even ethiopia is trying yet they have so many mouths to feed...100 million people against 45 million for Kenya...
 
Nimemuomba ndugu yako atuoneshe underconstructions na sio renders nasubiri naomba umkumbushe😀😀
 
dams and irrigation schemes are under construction all over the country. tembea ujionee
Nakukumbusha tena naomba utuoneshe picha za constructions
usituletee picha renders tafadhali sana
 
Kumbuka we are in battle. Natumia silaha yoyote ile ili kukuumiza. Kisaikolojia, kimawazo, kiuchangiaji nk. So usinichagulie cha kukugonga. Nagonga popote ili mradi unapata maumivu.
umemjibu vizuri sana.
tatizo hawa jamaa huwa hawazijui silaha tunazotumia katika hii battle.

wao kila siraha wanayojaribu kuitumia ili kutu-neutralize inafeli.

kwa mfano walijaribu kutumia silaha ya kutuita LDC,hii imeshindwa kuleta effect kwasababu tuliipokea lakini baadae tukaigeuza kama sehemu ya kukubari kuwa kweli sisi ni LDC na wala haitumii kuwa hivyo.matokeo yake kila wamapotuita LDC sisi hatuonyeshi kukasirika.

ila sisi tukiwawekea wao picha za kibera wanakasirika sana....wanatoa machozi mengi mithiri ya mtoto mchanga.

naona siku hizi wamehamia kwenye siraha ya kutukusoa kuhusu kingereza.hiyo nayo imefeli.tunawachakaza hivo hivo na broken english yetu.

waibie siri kuwa moja ya siraha zetu tunazotumia kuwalegeza miguu wanapojaribu kujitutumia ni zile picha za kibera kwasababu tushatambua ni namna gani zinawatesa kila tunapo zi upload.
 
it might be true, but why are we still dying of hunger?...no life...even just one life should be lost because of hunger...i hope hizo dams zikiisha zitamaliza njaa sababu ni aibu...it is what these LDC ppl use all the time against us to win arguments...and they are right...how can we pride ourselves of being the region's largest economy while our ppl in Turkana are dying of hunger and malnutrition? these people including Ug and Tz might be LDC countries, but atleast they can boast of food security...even ethiopia is trying yet they have so many mouths to feed...100 million people against 45 million for Kenya...
kwanza Uganda has a lot of food.....in infrastructure no country in East Africa threatens Kenya.however we need to go back to complete social development of the people by investing heavily in Agriculture and security....and of course world class healthcare.Moreover we need to really reach out to every corner of the nation for equal and sustainable development.When all these is done.. then whoever takes the highest seat of the land won't be a matter of life and death to either political sides.And we won't need the cosmetic peace messages on our screens any more.

God bless Kenya
 
Tanzania tunachakula kingi, vitu tunavyokosa ni vile hasa vinavyohitaji bidii binafsi kupata kama nyumba Za kisasa ,usafiri ofcz kwa dunia u sasa gari ni muhimu kama sio sehemu ya hitaji me lazima,

Miundiombinu muhimu kama barabara ,maji safi na maji taka, mtandao wa simu ,huduma za kijamii kama hosp na shule nguvu ya serikali ndio yahitajika...japo natoa pongezi sana kwa mashirika yasiokua ya serikali yanayotoa huduma Za elimu na afya kote nchini
 
it might be true, but why are we still dying of hunger?...no life...even just one life should be lost because of hunger...i hope hizo dams zikiisha zitamaliza njaa sababu ni aibu...it is what these LDC ppl use all the time against us to win arguments...and they are right...how can we pride ourselves of being the region's largest economy while our ppl in Turkana are dying of hunger and malnutrition? these people including Ug and Tz might be LDC countries, but atleast they can boast of food security...even ethiopia is trying yet they have so many mouths to feed...100 million people against 45 million for Kenya...

kwanza Uganda has a lot of food.....in infrastructure no country in East Africa threatens Kenya.however we need to go back to complete social development of the people by investing heavily in Agriculture and security....and of course world class healthcare.Moreover we need to really reach out to every corner of the nation for equal and sustainable development.When all these is done.. then whoever takes the highest seat of the land won't be a matter of life and death to either political sides.And we won't need the cosmetic peace messages on our screens any more.

God bless Kenya
angalau sometime mnakubari mapungufu "yenyu".
 
Back
Top Bottom