Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mechi ilichezwa usiku wewe unaweka picha za asubuhi wakati mashabiki wanaingia ili kujiliwaza, ok ushapata nafuu sasa? Kula chuma ichooo 🤣🤣🤣
Screenshot_20231021-084029~2.png
Screenshot_20231021-084103~2.png
Screenshot_20231021-083934~2.png
 
Sikupenda Simba ishinde na wala sikutaka ifungwe mana ingetupunguzia credit kama taifa.
Mechi za wakubwa wa Africa hakuna mdogo huko ukigeuka kulia Wydad kushoto Esperance mbele Al Ahyl, nyuma Mamelodi. Lazima uwashinde hawa ili na wewe uwe mkubwa. Kushinda mechi na vitimu vya wavuvi Asas ns zalan tena viwanja vyao vya nyumbani ni hapahapa Lupaso hutafika mbali.
 
Yani hakuna siku wakenya wamefanya kitu kikatustua ila sisi daily tunafanya mambo yanayowastua, zamani walikuwa wanatupigia kelele na vimaendeleo vyao uchwara nowadays sisi tunawapiga na maendeleo ya kweli, wakigeuka huku tunawachapa na electrified railway, wakigeuka huku kuna BRT, kabla hawapumua tunawapiga na jnhpp, mara new city of Dodoma, huku new planes kule EACOP, mara best stadiums yani wanajuta kutufahamu, walifikiri sisi ni saizi yao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Aisee VAR ilikuwa ya viwango sana, unaambiwa refa akaenda kuangalia VAR na akaoneshwa vzr kabisa kama yupo Wembley mwanangu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

NB: this is new Tanzania, don't dare.
Hiyo VAR ni mali ya CAF kijana wa Tandale. Kama imekuwa happ all this time mbona hamjawahi leta picha humu tuone
 
Yani hakuna siku wakenya wamefanya kitu kikatustua ila sisi daily tunafanya mambo yanayowastua, zamani walikuwa wanatupigia kelele na vimaendeleo vyao uchwara nowadays sisi tunawapiga na maendeleo ya kweli, wakigeuka huku tunawachapa na electrified railway, wakigeuka huku kuna BRT, kabla hawapumua tunawapiga na jnhpp, mara new city of Dodoma, huku new planes kule EACOP, mara best stadiums yani wanajuta kutufahamu, walifikiri sisi ni saizi yao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Miradi ya tangia megafoool huko hai ndio unaitwa mpya, miradi ya Uhuru utayaweza tukuhesabie?
 
Back
Top Bottom