Wewe hili umekazania sana labda kwakua na something against him.
Ni hivi, maarifa gani unaongelea hapa?
Hizi hapa ni aina tofauti za uvunjaji mikataba: Performance of responsibilities, Expiration, Breach of Contract, Termination for Convenience, Force Majeure, Insolvency, Rescission of an Agreement.
But only kama ni moja ya vipengele vilivyo orodheshwa kwenye mikataba. Mikataba mingi kama huu wa bandari ni wa lifetime na hauna vipengele vya uvunjwaji kwa mujibu wa mkataba.
Sasa kama hakuna vipengele hivyo vya uvunjwaji ndani ya mikataba, unabaki na options mbili tu: Mutual Agreement or conflict.
Sasa kwenye mutual agreement ni lazima hela itoke kama compensation or incentives kuwalainisha jamaa waachie, ama muingie kwenye conflict kwa kuvunja mikataba isiyo na ukomo wala vipemgele vya uvunjwaji ambapo ugomvi unaishia mahaka za kimataifa where all parties have a chance za kushinda kesi.
IMEVUNJWA kwa sababu ya ushenzi wa Kikwete aliyeingia mikataba ya kujuha, na TUNALIPA kwakua Mafisadi, genge la Kikwete hawapeleki team ya ushindi mahakamani, yaani wanauza mechi ili tulipe, wapige hela na AKILI ndogo wabaki kumlaumu MAGUFULI.