Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,919
- 103,791
na mlikuwa mnashindania kikombe ama ni mazoezi ya kirafiki haahaaIt's a draw, 2-2. We led for 88 minutes against Russia, Word Cup quarter finalists in their own turf with Russians chearing their home team in the stands. Ingekuwa ni nyinyi sijui mngebeba mabao na magunia ngapi!
Arusha Airport
View: https://twitter.com/WizarayaUC/status/1714279820748816874
![]()
![]()
MY TAKE
Wapi Kisumu international Airport?
Mkurupukaji hapo ni Kikwete, na ndio serikali yako ilisign mikataba mibovu mno katika historia ya nchi yetu. Na hatuwezi kuendelea na mikataba inayotunyonya na isiyo na tija kwa taifa.Jamaa yenu mkurupukaji ndio alitufikiwha huku.
Mkurupukaji hapo ni Kikwete, na ndio serikali yako ilisign mikataba mibovu mno katika historia ya nchi yetu. Na hatuwezi kuendelea na mikataba inayotunyonya na isiyo na tija kwa taifa.
Kuna Mkataba wa Buzwagi: Karamagi alichukua mihuri ya wizara na kusafiri nayo mpaka Europe na kusign mkataba wa Buzwagi kwenye mahoteli na machangudoa.
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1666189845390057478?s=20
Na walioingia mikataba ya hovyo?Mkurupukaji ni yule aliyevunja mikataba kienyeji
Shida inaazia UKWENI 😂 😂 😂Hawa ndio mawaziri tunaowategemea 🤣🤣
View attachment 2784588
Mkurupukaji hapo ni Kikwete, na ndio serikali yako ilisign mikataba mibovu mno katika historia ya nchi yetu. Na hatuwezi kuendelea na mikataba inayotunyonya na isiyo na tija kwa taifa.
Kuna Mkataba wa Buzwagi: Karamagi alichukua mihuri ya wizara na kusafiri nayo mpaka Europe na kusign mkataba wa Buzwagi kwenye mahoteli na machangudoa.
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1666189845390057478?s=20
Tungeanza na mikataba kusainiwa kijuhajuha kwanza tungeenda vyema. Tusingekuwa na mikataba ya kijuhajuha, kusingekuwa na ulazima wa kuvunja chochote.Ndo ivunjwe kijuhajuha?