Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Halafu mnaangalia Kenya vs Russia?😊

Screenshot_20231016_204512.jpg
 
It's a draw, 2-2. We led for 88 minutes against Russia, Word Cup quarter finalists in their own turf with Russians chearing their home team in the stands. Ingekuwa ni nyinyi sijui mngebeba mabao na magunia ngapi!
Si mlifungwa na South Sudan juzi tu hapa, endeleeni kupoteza pesa za tax payers wakati hampo kwenye michuano yoyote 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20231011-235356~2.png
 
Makenya inaonesha yameumia sana Tanzania kuwakilisha hii region ya kipuuzi ya East Afrika kwenye AFCON 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Region ya watu wapumbavu sana hii linapokuja suala la soka, wametuachia kila kitu tuwabebe kuanzia national team Tanzania pekee ipo AFCON, mpaka ngazi ya vilabu Tanzania pekee ipo group stage CAF, tena sio timu moja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom