Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

296d072e7c71b590a747a09105d5bf3f.jpg


fellow Kenyans I was just asking where is this
 
Wanadai tuna Tower mbili yet, wao mpaka wamalize kuchimba mafuta baada ya Miaka mitatu Au lminne ( Pinnacle 1& 2, Avic 1,2 & 3, Montave 1&2 watakua Bado wanatembelea kichwa Kwa Number of Highrises over 30 Kwa DAR, Sasa sijui Nani hapo ana Tower mbili Kwa sasa .
Wakikuonesha wapi wanajenga hzo renders plz tag me😀😀😀😀😀😀
 
Hawana hoja. ..
Nawafahamu MNF tower 30 ×2 Mwakani linakua tayari
Mzizima tower 35,33flr mwakani
ppf tower 35flr mwakani...
Nyumba tano Za nguvu ziko mbioni kuisha
Wakiwaonesha wapi wanajenga renders hzo za pinaccle na montave naomba unitag tafadhali😀😀😀😀
 
LOL na kuna mtu kila siku eti Tower mbili. utafikiri hapo kuna hata la maana. upperhill na Old CBD your popular 2 CBDS, lakini yanaonekana kama Kijiji. LOL
Mwenye alikudanganya Cities ni maghorofa pekee yanaangaliwa ni nanj?
acha kuaibisha east africa please.
 
Hawana hoja. ..
Nawafahamu MNF tower 30 ×2 Mwakani linakua tayari
Mzizima tower 35,33flr mwakani
ppf tower 35flr mwakani...
Nyumba tano Za nguvu ziko mbioni kuisha
So bila CBD,Mko na nini cha kujivunia...juu planning tecnology na infrastructure kwanza ni zero...
 
planning ndio important.
Berlin,stockholm,manchester,Leeds,barcelona,Vienna hazina maghorofa but huwezi compare na any city africa
Yani wewe kwa akili yako unafkiri tupo tu tunajenga hatuna planning au unaona watanzania wajinga sana nyie ndio munajua sana planning kwa kifupi nakupa pole ndugu😀😀😀😀😀😀 ukiskia mwaka 2017 ndio huu
 
Yani wewe kwa akili yako unafkiri tupo tu tunajenga hatuna planning au unaona watanzania wajinga sana nyie ndio munajua sana planning kwa kifupi nakupa pole ndugu😀😀😀😀😀😀 ukiskia mwaka 2017 ndio huu
tone down on the sycophancy
 
Yeye anajenga flyovers kupanua bandari, super highway, ringroads, madaraja mf oysterbay to aga Khan, kupanua maktaba ya udsm kujenga hostel za wanafunzi na estates kadhaa. ..hehehe zege halilali
where the hell are all these you've listed.....you barely have none
 
Back
Top Bottom