Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Annael

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,828
2,000
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.

Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
 

COLLOH-MZII RELOADED

JF-Expert Member
Apr 6, 2017
7,554
2,000
Sio wote ni rich
Ila Tanzania nzima hakuna maisha ya ku ogofya kama haya


ila nataka kujua pia ile gari moshi SGR yenu apa inapitaje
My friend are you here to defend dar slum in the battle or post Kenyan slum....have you ever seen a Kenyan posting tz pics?......inferiority complex is real
 

tuusan

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
12,091
2,000
Nmependa kiwanda cement tonne laki 7 is mwaka safi, chai na cathedral architecture
 

COLLOH-MZII RELOADED

JF-Expert Member
Apr 6, 2017
7,554
2,000
Upper hill has unique buildings ...different shapes,designs,colour,height etc not unlike a city in a country to the South of Kenya that has all similar buildings except two towers.

Alafu Nugu iseme inacompare upper hill na kijikonyama...my friend shida iko wapi
 

IamLee

JF-Expert Member
Apr 23, 2017
3,441
2,000
.
bitchy nigga - a bitch nigga.
if you not - if you're not.
Acha kuchapia, unajifanya umajununi wakati lugha haipandi?
dude don't you dare correct slang, no grammar here homie...
PS being bitchy is acting like a bitch, got it?
 

COLLOH-MZII RELOADED

JF-Expert Member
Apr 6, 2017
7,554
2,000
This is kilimani...we mean architecture... We don't depend on the government for real architecture... Anyway thanks to kikwete govt for giving Kenyans a chance to design you guys TPA.
 

tuusan

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
12,091
2,000
Unavyolazimisha tower mbili ndio hua sometimes nakuona empty head tu ...colloh -mziireloded...

Kumbuka jungle letu halina mpinzani nakubali upperhill surpus k'nyama and nobody has ever claimed that k'nyama is ahead of upperhill unless it was upanga named
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom