🤣🤣🤣🤣. Nimesoma huu Uzi nikagundua muanzisha Uzi na wewe nyote ni vichaa 🤣🤣🤣. Sasa kweli sisi tujenge zile takataka kama zenu.? Zenye hazina hata CAF approved standards .? 🤣🤣🤣🤣 Aah mammaae .. tuliza kalio uone tutakachofanya. Viwanja vinne tutakavyokuwanavyo kwaajili ya Afcon, vitatu ndio vitakua viwanja vizur zaidi na bora top 3 in East and Central Africa. Kwanza vinajengwa maeneo ambayo ni very strategic. Imagine Zanzibar east Africa's paradise. Arusha Tz's tourism hub. DODOMA Tz's capital and by the time DOM itakua yamoto mnoo considering the fact that there are so many bigger projects going on there. DAR es salaam Lupaso stadium, muda huo Dar itakua covered na BRT in each and every single big road (barabara tatu kubwa Dar es salaam kwasasa tayari zipo covered na BRT, yaani 3 phases)+SGR 🚆 a.k.a joka. Yani kiufupi huo ni wakati ambao dunia itajua nani ni nani in East Africa..