View attachment 1023212
Kuna kitu nimewaza kuhusiana na utalii au kutokana na haya mapato ya utalii. Mniruhusu kushare na nyie.
Ni kwamba kwanin Rais au Bodi ya utalii isitoe hela kidogo ya haya mapato ya utalii kujengea uwanja wa kisasa wa mpira kule Arusha?, na uwanja utakuwa chini yao...na katika uwanja huu wataweka matangazo yao ya utalii wanavyotaka, na zile mechi za kimataifa au kikanda mfano kama hizi za Champions League ziwe zinaelekezwa huko Arusha. Kwenda kucheza huko kitawafanya baadh ya wachezaj au makocha wa timu za nje kuenjoy mandhari ya utalii na hata kuweza kuongeza siku za kukaa ili wandelee kutalii kidogo nchini kweny mbuga zetu... Hayo tu!