ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,268
Sisi haituhusu.Sisi wakenya ni magovi, huwa hatutairiwi.
Bro watu waache kwenda Zanzibar na Arusha kutalii .. waje huko kwenu kufata nini mzee.? 🤣🤣🤣 We unadhani waTz walioamua tujenge viwanja huko walikua vichaa..? Jicho la biashara hilo, and trust me we are going to beat you Big time.A communist Ujamaa infested brain would never understand…. Just wait utaona what that means…🤣🤣
Aliyekuzuia ni nani? Do you own the servers?Sasa tukiamua kuleta moja moja kama hivi za vijijini kabisa na wala sio za kuiba mitandaoni na hizi si servers za JF zitacollapse?
Zanzibar haifiki kwa diani in terms of beaches, haifiki kwa maendeleo (infrastructure) kilifi county. Malindi, Ukunda, kikambala, mtwapa zote ziko ndani ya kilifiBro watu waache kwenda Zanzibar na Arusha kutalii .. waje huko kwenu kufata nini mzee.? 🤣🤣🤣 We unadhani waTz walioamua tujenge viwanja huko walikua vichaa..? Jicho la biashara hilo, and trust me we are going to beat you Big time.
It's good that you are talking in future tense, like you've always done since Kambarage Nyerere's timeBro watu waache kwenda Zanzibar na Arusha kutalii .. waje huko kwenu kufata nini mzee.? 🤣🤣🤣 We unadhani waTz walioamua tujenge viwanja huko walikua vichaa..? Jicho la biashara hilo, and trust me we are going to beat you Big time.
The guy even has the nerves to mention KQ in the same statement with ACTL 😂😂😂A communist Ujamaa infested brain would never understand…. Just wait utaona what that means…🤣🤣
Wacha kuota mkichaa wewe Zanzibar Iko na five star hotels mingi kuliko NAIROBI+ Mombasa combined. Hizo beaches ndio hata usitaje kabisa, huku watu watakuja wajionee wenyewe sio kupika namba mzee wangu, suala la uongo wa namba za kimtandao huku weka pembeni mjomba.. same story to Arusha which is the gate way to Ngororongoro, Kilimanjaro and Serengeti national park hizo zote ni dream places of many Africans and other people around the world. Watu waache hizo packages waje huko kwenu kuona nini.?. At least NAIROBI inaweza kuwa competitive to some extent kwasababu labda na yenyewe Iko na hako ka masai mara, haya huko kwengine watu watakuja kufurahia nini Bro.? 🤣🤣🤣 Public transport ndio ndio mpo nyuma yetu kinoma at least 20 years 🤣🤣 ubora wa viwanja je.? Yani mechi ya Afcon ikachezwe sijui kipchoge stadia.? Au sijui Kisumu county stadia.. 🤣🤣🤣🤣Zanzibar haifiki kwa diani in terms of beaches, haifiki kwa maendeleo (infrastructure) kilifi county. Malindi, Ukunda, kikambala, mtwapa zote ziko ndani ya kilifi
Kwahyo utalii Znz + Arusha ni future eeh.?🤣🤣🤣It's good that you are talking in future tense, like you've always done since Kambarage Nyerere's time
We kweli ni mwehu hapa hatuzungumzii wingi wa international direct flights.. kwasababu ATCL inafika katika nchi zote zitakazokuwa wenyeji wa mashindano, isn't it.?The guy even have the nerves to mention KQ in the same statement with ACTL 😂😂😂
Yani shirika iliyo na less than 30 international direct flights dhidi ya KQ with close to 50
Halafu by next year Air Tanzania itakuwa inaenda West Africa!We kweli ni mwehu hapa hatuzungumzii wingi wa international direct flights.. kwasababu ATCL inafika katika nchi zote zitakazokuwa wenyeji wa mashindano, isn't it.?
Sasa ndege zenu chakavu+ poor services zinaweza kuwa competitive to ours.? 🤣🤣🤣🤣 Sasa ipi itakua choice of the many. Kq or ATCL .?
Piga spana. 😂😂😂We kweli ni mwehu hapa hatuzungumzii wingi wa international direct flights.. kwasababu ATCL inafika katika nchi zote zitakazokuwa wenyeji wa mashindano, isn't it.?
Sasa ndege zenu chakavu+ poor services zinaweza kuwa competitive to ours.? 🤣🤣🤣🤣 Sasa ipi itakua choice of the many. Kq or ATCL .?
How many international passengers passed through JNIA last year. Wishful thinking peleka kwa jukwaa la CCM.We kweli ni mwehu hapa hatuzungumzii wingi wa international direct flights.. kwasababu ATCL inafika katika nchi zote zitakazokuwa wenyeji wa mashindano, isn't it.?
Sasa ndege zenu chakavu+ poor services zinaweza kuwa competitive to ours.? 🤣🤣🤣🤣 Sasa ipi itakua choice of the many. Kq or ATCL .?
Alaf ategemee 2027 kutakua na addition of another 10 to 15 new aircrafts yaani wakae mkao wakula kabisa wasije sema hatukuwaambia 😅We kweli ni mwehu hapa hatuzungumzii wingi wa international direct flights.. kwasababu ATCL inafika katika nchi zote zitakazokuwa wenyeji wa mashindano, isn't it.?
Sasa ndege zenu chakavu+ poor services zinaweza kuwa competitive to ours.? 🤣🤣🤣🤣 Sasa ipi itakua choice of the many. Kq or ATCL .?
Mzee inawezekana hujaelewa nilichoandika.. soma tena mwana.. au nitumie kiingereza.?How many international passengers passed through JNIA last year. Wishful thinking peleka kwa jukwaa la CCM.
Kama kuna town afrika imebebwa na hype basi ni Zanzibar. Kwanza Kama ni beaches nzuri haifiki kwa diani (imeshinda tuzo mfululizo), Kama ni Swahili civilization haifiki kwa lamu island (UNESCO best preserved) - uswazi ndio umetapakaa Zanzibar. Kama ni mahoteli haifiki kwa kilifi county, leta battle kilifi vs ZanzibarWacha kuota mkichaa wewe Zanzibar Iko na five star hotels mingi kuliko NAIROBI+ Mombasa combined. Hizo beaches ndio hata usitaje kabisa, huku watu watakuja wajionee wenyewe sio kupika namba mzee wangu, suala la uongo wa namba za kimtandao huku weka pembeni mjomba.. same story to Arusha which is the gate way to Ngororongoro, Kilimanjaro and Serengeti national park hizo zote ni dream places of many Africans and other people around the world. Watu waache hizo packages waje huko kwenu kuona nini.?. At least NAIROBI inaweza kuwa competitive to some extent kwasababu labda na yenyewe Iko na hako ka masai mara, haya huko kwengine watu watakuja kufurahia nini Bro.? 🤣🤣🤣 Public transport ndio ndio mpo nyuma yetu kinoma at least 20 years 🤣🤣 ubora wa viwanja je.? Yani mechi ya Afcon ikachezwe sijui kipchoge stadia.? Au sijui Kisumu county stadia.. 🤣🤣🤣🤣
Kelele mingi za nni .? Unaweza hiyo battle tuende ground.? Zanzibar sio tu beaches+ hotels, inafanya vizur hadi kwa real estate.. International airport.. yani cheki heb twende ground kama unajiweza..Kama kuna town afrika imebebwa na hype basi ni Zanzibar. Kwanza Kama ni beaches nzuri haifiki kwa diani (imeshinda tuzo mfululizo), Kama ni Swahili civilization haifiki kwa lamu island (UNESCO best preserved) - uswazi ndio umetapakaa Zanzibar. Kama ni mahoteli haifiki kwa kilifi county, leta battle kilifi vs Zanzibar
Please hiyo battle ya hotels iwe Nairobi+ Mombasa vs Zanzibar.. na nakuhakikishia hautoboi hiyo battle. Let's goKama kuna town afrika imebebwa na hype basi ni Zanzibar. Kwanza Kama ni beaches nzuri haifiki kwa diani (imeshinda tuzo mfululizo), Kama ni Swahili civilization haifiki kwa lamu island (UNESCO best preserved) - uswazi ndio umetapakaa Zanzibar. Kama ni mahoteli haifiki kwa kilifi county, leta battle kilifi vs Zanzibar
Kitu kimoja na wewe nikwamba unajua kuropokwa lakini ukiambiwa ulete data unapotea, mpaka sasa hujanipa units za magari mlizoshusha mwezi Jana. JKIA ndio aviation hub ya east afrikaMzee inawezekana hujaelewa nilichoandika.. soma tena mwana.. au nitumie kiingereza.?