Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

peleka upumbavu that's a hospital in one of slums in Nairobi! Nenda kabishane na Ruto!
Hospitali yenye iko hadi na viti za sofaset na TV ndani? Mbona mnapenda kulazimisha mambo mibongolalala?

The Tweet from the president even says it all... Kenyans will NO LONGER TRAVEL TO HOSPITAL for minor ailments. Najua kizungu hamuelewi lakini jaribu kuelewa that simple English
 
😅😅😅
IMG_5201.jpeg
IMG_5204.jpeg
 
Kama huwa unaangalia tunapoweka video za Dodoma ungeona aibu kuwatag watanzania kwenye hii video, bro Dodoma iko mbali sana kwa sasa, Dodoma tayari imesha take off, majengo ya kisasa na barabara kila kona, ukimuonesha mtanzania alafu u brag about this atacheka sn 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Lol. Unacompare Dodoma - capital city, with an outpost of Nairobi? 🤣 🤣 🤣
Zima hio bangi.
Dodoma compare na Thika tafadhali.
 
Hakuna chochote in East and Central Africa cha kuweka sentence moja na Egypt, SA wala Morocco as far as real estate development is concerned. Hawa watu level walizonazo kwasasa wanaelekea ku battle na first world countries. Heb cheki hii Egypt.new Cairo kwanza 👇
rj83xi3u48cb1.jpg
the first super tall building in Africa 👇with 80 floors
41_2023-638198779845869929-586.jpg
.. the kinda real estate investments .. mountain view 👇wala sio paris ni hapahapa Africa
5e5bbf5d05bfa188438611.jpg
.. another one 👇
hyde-park-new-cairo-facilities.png
check out this massive investment in real estate 👇 Egypt
large.jpg
.. ATI kenyans wanadai haka kaeneo ndio largest estate in Africa 👇
Screenshot_20230925-165608_1.jpg
. 🤣🤣🤣 Hii ni vichekesho sana.. sijajua ni ignorance ama ni nini. Nicxie nani alikwambia nyayo ni largest estate in Africa.? 🤣🤣🤣 Wacheni kutumia hizo adjectives vibaya manzee. Africa ni kubwa mno na Ina mataifa yaliyoendelea kweli kwa ground . Hiyo paper economy au jidipii isiwachanganye.. ona vile hiyo Egypt ulitaka itajwe inavyofaanan. 👇
View: https://youtu.be/6mw0VDr8Fmk?si=1eA2QLhqAZBRhNDs.
 
We pimbi Kweli we jamaa. Unataja hicho kinyayo estate kama estate kubwa zaidi Africa.? 🤣🤣 Kina host inhabitants 30k tu na ni old fashioned buildings zote.? wala usiende huko Egypt, SA wala Morocco .. huko si Africa kabisa, mana hao jamàa wanaeza shindana face to face na mataifa ya Ulaya... kilamba Angola Iko na gorofa 750 zenye floors Kati ya 5-13. Schools 24 . Retail stores 100.. it was designed to host 200k inhabitants. Pita hapa 👇"Quilamba - Wikipedia" Quilamba - Wikipedia. The best 007 njoo uone nnavyomvuta kende huyu kiazi.. 👇View attachment 2761918View attachment 2761922View attachment 2761925na hizi estate kubwa huku luanda zipo kama tano hiv au zaidi.. na hakuna hata estate moja within NAIROBI inaweza kaa kwenye sentence moja na estates za Luanda. Ukibisha twende ground
Mimi nilijua tu lazima uje umpe somo uyo msenge, huwa wanajifanya hawana akili nzuri eti ki estate chao old fashioned ndio wanakiita cha 3 kwa ukubwa Afrika 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Mimi nakuambia wakiendelea kuzubaa zubaa wakifikiri tumelala tutawapiga gape kubwa sana, tunajenga Dodoma tena ni estate za kisasa kama hizo za Angola, SA, Egypt na Morocco.

Ukiwekaga hizi picha alafu nikiangalia estate zao zilivyo nyeusi yani ni bora nipambanishe na Iyumbu au Njedengwa Dodoma🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom