Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We kweli fyatu 😅😅😅
1695647619752.png
 
Hizo nyumba ziko empty 60% of those apartments are unoccupied. They are too expensive for Angola citizens to afford, wanaishi vijijini. Nyayo Estate is 100% occupied
🤣🤣🤣🤣 We fala nini .. umefungua hiyo link.? 100% occupied with 30k people vs empty city with more than 129k estimated population by 2019. Soma hii ni report ya 2019 . 👇 "Quilamba - Wikipedia" Quilamba - Wikipedia. Halafu mpumbavu mwenzako si alidai nyayo ni estate kubwa Africa.? 🤣🤣🤣..mnajua Africa ni Tz vs Ke au.?
 
🤣🤣🤣🤣 We fala nini .. umefungua hiyo link.? 100% occupied with 30k people vs empty city with more than 129k estimated population by 2019. Soma hii ni report ya 2019 . 👇 "Quilamba - Wikipedia" Quilamba - Wikipedia. Halafu mpumbavu mwenzako si alidai nyayo ni estate kubwa Africa.? 🤣🤣🤣..mnajua Africa ni Tz vs Ke au.?
Ilijengwa na loan kutoka China na iko empty. Pumbavu

1695648029137.png
 
We pimbi Kweli we jamaa. Unataja hicho kinyayo estate kama estate kubwa zaidi Africa.? 🤣🤣 Kina host inhabitants 30k tu na ni old fashioned buildings zote.? wala usiende huko Egypt, SA wala Morocco .. huko si Africa kabisa, mana hao jamàa wanaeza shindana face to face na mataifa ya Ulaya... kilamba Angola Iko na gorofa 750 zenye floors Kati ya 5-13. Schools 24 . Retail stores 100.. it was designed to host 200k inhabitants. Pita hapa 👇"Quilamba - Wikipedia" Quilamba - Wikipedia. The best 007 njoo uone nnavyomvuta kende huyu kiazi.. 👇View attachment 2761918View attachment 2761922View attachment 2761925na hizi estate kubwa huku luanda zipo kama tano hiv au zaidi.. na hakuna hata estate moja within NAIROBI inaweza kaa kwenye sentence moja na estates za Luanda. Ukibisha twende ground
Wewe unaongelea magofu na mahame wakati mimi naongelea mtaa ambayo watu wanaishi and house occupancy is 100%!

Quilamba is a ghost town as we speak now. Built in 2012, the buildings are largely unoccupied todate. Yani only 220 houses have been sold out of 2,800 that were initially released. That is less than 10%. Going by these figures, we can comfortably say than it has less than 20,000 residents, a far cry from 200k it was meant to house. Compare that with Nyayo estate that has 30,000 residents as we speak. So kwa akili yako ni gani kubwa?
 
Back
Top Bottom