The Other Delo
JF-Expert Member
- Sep 12, 2023
- 1,066
- 1,182
One day soon the northern part of Kenya will be developed just like the deserts of Arizona, USAZingatia kwamba Kenya kuna sehemu kubwa sana ambazo ziko unoccupied wakati tanzagiza kila kona mmefinyana na bado mnazaana Kama kunguni.
Germany
Ma estate yaliyopo kule SA, ma estate yaliyopo kule Angola, ma estate yaliyopo kule Egypt lkn bado mnajiongopea wajinga nyie, kweli nyie wehu kweli kweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sasa kati yangu na wewe unayepingana na documented facts nani ako na hasira?
Nyayo estate is the second-largest estate in Africa. Utaumia sana na mauchungu ila ukweli itabaki pale pale
Jamaa sifa mpaka anaharibu na kuwaharibia washirika wake. Yeye ndio alipeleka jina la nani ateuliwe na timu nzima yakina Maajar ukurugenzi Tanesco alitengeneza Kipara.😆😆 kumbe
Architect zenu zinachekesha, hili kama josho vileKipchoge’s library in rural Nandi county…deep ushago…View attachment 2760959
www.digitalphablet.com
Sehem gani kubwa wakat mapori yanamilikiwa na wanasiasa, ikiwa kenyataa pekee anamiliki ardhi yakuweka wakenya million 20 what about other politicians ???Zingatia kwamba Kenya kuna sehemu kubwa sana ambazo ziko unoccupied wakati tanzagiza kila kona mmefinyana na bado mnazaana Kama kunguni.
Hapo umepaka wanja sana mpaka imekuwa kituko.Bro Yanga tupo serious sana, hatuna masihara hata kidogo, tumepania kuleta mapinduzi ya soka ukanda huu na ndiyo maana unaweza kuona mambo yetu tunayafanya kisasa zaidi, hatuna longolongo, tulishaacha.
Yanga ndiyo timu pekee hapa EA ambayo ipo very organized, ndani ya Yanga kila mtu anafanya majukumu yake, hakuna kuingiliana kama timu zingine, ukitaka kuamini subiri uone mana wote tupo champions league, ngoja tuone nani kidume kwa sasa.
Umeumia sana 🤣🤣🤣🤣1. Reli ambayo haina wateja
2.Brt ilioleta jam kwa barabara zingine
3. Bridge zinazopita kwa uswazi.
4. Rare metals na bado hamna umeme
4. Wananchi wajinga ndo maana serikali haikosolewi
Full vumbi 🤣🤣🤣So mzungu anadanganya au??😅😅😅😅
Ww unadhani hapa ni nairaland au??
Project ina zaidi ya miaka 15 lakini hata kufikisha 1% of its render bado
View attachment 2761146View attachment 2761147View attachment 2761148