ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Mwaka gani ilikua??? Nikumbushe ??π π πππππ
View attachment 2761747
Sisi tunakupa vitu moto vya 2 days ago ww unaleta vitu vya 5 to 20 yrs back π π π πNapenda sana huu mchezo mlioanzisha ππππ
Picha ilikua ya mwaka gani ??? Ndio swali π πππππ
View attachment 2761750
Picha ilikua ya mwaka gani ndio swaliπ πππππ
View attachment 2761753
3 days ago πππππππππππ
View attachment 2761753
π π π π π mbona unapost hio mara 20 kwan?? Kitu cha april na kwa taarifa yako ujenzi wa BRT ulikua unaendelea hapo
huwa mmuda wa gari kupita ndio mtu wa kampuni hupita na speaker kutangaza watu watoe taka na huweka sehemu moja gari kuja kupakiza, shida inatokea gari kupata changamoto ndio likichelewa watu wanalalamika na kupiga pichaNdo ujue watanzania sio wavumilivu wa uchafu takataka zimeKaa siku tatu wanapiga kelele wakati Nairobi watu wanaishia na kinyesi na hakuna anayejali
mwambie sasa ni mwendokasi inakaribia kuanza na gongolamboto piaOhhh kumbe april i thought like 2 or 3 days ago ππππππ
mwambie sasa ni mwendokasi inakaribia kuanza na gongolamboto pia