ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,430
- 88,519
Mwanza City hospital building is loading,bonge la architecture kama Mlonganzila 👇
short sightedness inakuwaje Arusha ikiwa na BRT yake? mabasi yanayoingia mjini yatasimama wapi? Unaifahamu Arusha au unakurupuka! Kule kwenye 98 acres za AICC ndo wakajenge malls! wasiharibu mipango miji!Naunga mkono Mall.Eneo finyu sana Kwa Stand pale,wanaweza peleka eneo la pembeni kidogo lenye nafasi Kwa daladala za town.
Maana stand kuu itakuwa somewhere Bondeni City View attachment 2761519
Hata ubungo ya zamani inaenda kuwa mall, stand ya daladala wanayo tayari na ni eneo kubwa kuliko hilo la CBD, wanachotakiwa ni kuliboresha na lipo strategic sababu lipo karibu na soko la mji, recreational park pia sio mbaya ila ni massive underutilization ya eneo prime kama hiloSidhani kama ni good idea! Iendelee kuwa stand ya mabasi ya ndani ya mji au iwe recreational park! Ikiwa mall inakuwaje Arusha city itakapokuwa na BRT yake?
sasa eneo la Ubungo na Arusha ni sawa? Pale Arusha si sawa kujenga mall eneo lile litahitajika sana ni kama lile eneo la manispaa ya Jiji pale Boma lingejengwa facility binafsi! Basi zingesimama wapi? Mtumie akili aisee! Ubungo kuna Simu na nyuma ya mall kuna BRT pia! Arusha hivyo vitu hamna! Kila jiji au mji una sehemu yake ya kati ambayo inakuwa na provisions za bus stands n.k.!Hata ubungo ya zamani inaenda kuwa mall, stand ya daladala wanayo tayari na ni eneo kubwa kuliko hilo la CBD, wanachotakiwa ni kuliboresha na lipo strategic sababu lipo karibu na soko la mji, recreational park pia sio mbaya ila ni massive underutilization ya eneo prime kama hilo
Pembezoni mwa stand opposite na Arusha stadium wanalo eneo kubwa la wazi lipo idle tu tena ni kubwa kuliko eneo lote la stand na lina miti mikubwa tayari kama ni recreational park linafaa zaidi, economic benefits and job creation ni ndogo sana kama watafanya unavyotaka liwe, waweke investment yenye tija halafu rooftop ya mall wanaweza kuweka recreational park still.sasa eneo la Ubungo na Arusha ni sawa? Pale Arusha si sawa kujenga mall eneo lile litahitajika sana ni kama lile eneo la manispaa ya Jiji pale Boma lingejengwa facility binafsi! Basi zingesimama wapi? Mtumie akili aisee! Ubungo kuna Simu na nyuma ya mall kuna BRT pia! Arusha hivyo vitu hamna! Kila jiji au mji una sehemu yake ya kati ambayo inakuwa na provisions za bus stands n.k.!
Tuje kwa ground wewe hapo unatumia simu ipi ?😃😃😃😃Have you asked yourself why Burundi, Tanzania, Chad, South Sudan, Somalia, Togo, Djibouti and the likes are not in the list? It is because these countries are so poor that there is no available data of their average income.
Ndioo ulivyo ambiwa 🤣🤣🤣🤣🤣I can only see the African giants; Kenya, Morocco, Egypt, South Africa, Tunisia and Nigeria on this list. Only the most developed countries in Africa are there since they are the only countries where data could be found.
Kwahiyo wine inatoka Kenya kwenda US alafu wewe umeimport toka US ili uje kutongozea Kenya? Aki WAKENYA ni some special kind of Stupid😂😂😂Umekasirika kuskia wine ya mkenya inauzwa USA.