Kitambo tunasema humu, Mama hakuna kitu.
View: https://x.com/masige_fm/status/1705951711045583083?s=20
😆😆 kumbe
Kitambo tunasema humu, Mama hakuna kitu.
View: https://x.com/masige_fm/status/1705951711045583083?s=20
Bro Yanga tupo serious sana, hatuna masihara hata kidogo, tumepania kuleta mapinduzi ya soka ukanda huu na ndiyo maana unaweza kuona mambo yetu tunayafanya kisasa zaidi, hatuna longolongo, tulishaacha.Acha masihara mkuu viwango vya mpira ni takwimu si porojo na mechi mojamoja.
Umekasirika kuskia wine ya mkenya inauzwa USA.You don’t tell us wine, the Only wine producing country in this region are South Africa and Tanzania, njoo Dodoma ushuhudie maajabu ya wine.
1. Reli ambayo haina watejaTanzania tumetoka nyuma lakini naamini tutafika mbali 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kwa kweli ni neema kubwa kuzaliwa Tanzania
1.most advance rail system in east and central Africa
2.most advance sustainable public transport system with an award in Africa.
3.most organized and advanced bus Terminal in Africa.
4.The longest bridge in Africa.
5.The rarest minerals deposits in africa
6.One of the rarest fauna and florals in Africa
7.The most peaceful nation in Africa
8.Most beautiful country women in East Africa View attachment 2761112View attachment 2761113View attachment 2761114View attachment 2761115View attachment 2761116View attachment 2761117View attachment 2761134View attachment 2761135View attachment 2761138
Etc etc…………
So mzungu anadanganya au??😅😅😅😅Don't even talk about Tatu City.
Tatu city is on another level. Pictures taken today.
Roads construction continues
View attachment 2761111
View attachment 2761110
2. Industrial zone, never seen before in Africa
View attachment 2761120View attachment 2761121View attachment 2761122
3. Residential zones
View attachment 2761123View attachment 2761125View attachment 2761126
4. Construction of big industries continues
View attachment 2761127View attachment 2761128
Population ya Kenya ni 60m+Umeangalia population density ya Kenya? Nobody lives there and those people are pastoralists who move with their cattle from one place to another without any permanent settlement.
Ya tanzagiza 75m+ na by 2050 itakua 200m,🤣🤣Population ya Kenya ni 60m+
Tofaut ya tanzania na kenya ni kama 2m only na hapo zingatia tanzania ni kubwa mara mbili ya kenya eka akilini hio 😅😅😅Ya tanzagiza 75m+ na by 2050 itakua 200m,🤣🤣
Zingatia kwamba Kenya kuna sehemu kubwa sana ambazo ziko unoccupied wakati tanzagiza kila kona mmefinyana na bado mnazaana Kama kunguni.Tofaut ya tanzania na kenya ni kama 2m only na hapo zingatia tanzania ni kubwa mara mbili ya kenya eka akilini hio 😅😅😅
Tanzania ina watu takriban 60m wakat kenya ina over 58m
Please prove that the value of Dar estate imeshinda Nairobi na nitafunga account, you will never hear from me ever again …. I promise….
Punguza jazba we kaka kuona 😅😅😅😅1. Reli ambayo haina wateja
2.Brt ilioleta jam kwa barabara zingine
3. Bridge zinazopita kwa uswazi.
4. Rare metals na bado hamna umeme
4. Wananchi wajinga ndo maana serikali haikosolewi
Sisi tuna deal na mchezo ambao ni most popular and valuable kuliko michezo yote duniani, sio hiyo mi mbio mbio, mbio hazina mpango kwetu, na ukitaka uwe maarufu Tz ni mpira au kuimba full stop.
Yeah nchi kubwa hii, tulipaswa tuwe 100m+ kwa sasa ila ndiyo hivyo tena sisi tunazingatia uzazi wa mpango sio kama nyie mnaopigana miti mpaka kwenye recreational parks.Ya tanzagiza 75m+ na by 2050 itakua 200m,🤣🤣
Lete mpya ili niache kupost hiyo ya zamani.He will give you a 2018 source to prove his point.
Hasira za nini sasa, hizo takwimu umezinyofoa matakoni kwako au? Mtake msitake Dom ndiyo habari ya mjini kwa sasa, na huwezi kuniweka hapa eti nishindanishe old estate na hizi za kisasa, picha zipo na kila mtu kaona.Bongolala, make Google your friend and find out how big Nyayo estate is. Hakuna gated community kubwa afrika mashariki na kati kushinda Nyayo estate. Nyege zinakusumbua sana wewe bongolala
Sasa kati yangu na wewe unayepingana na documented facts nani ako na hasira?Hasira za nini sasa, hizo takwimu umezinyofoa matakoni kwako au? Mtake msitake Dom ndiyo habari ya mjini kwa sasa, na huwezi kuniweka hapa eti nishindanishe old estate na hizi za kisasa, picha zipo na kila mtu kaona.