Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

One time I posted that cabanas interchange on a WhatsApp group page and 10 people all said must be a great day somewhere in Texas with such little traffic. After I responded that was Kenya… they were all shocked… and Nairobi joined their bucket list of places a must visit…hiyo cabanas haikai Africa….
Cabanas, Museum Hill, Pangani na hizo za Southern Bypass are just world class. Meanwhile, ile Ubungo interchange ndio apparently the best in their country 😆
 
Kwamba nyumba kama hii ni quality? 😂😂😂View attachment 2760772

Now if that house above ni quality, what will we call this one ya Fourways Junction?
View attachment 2760793
Kuna vitu zingine hazifai mabishano
Sasa mjomba tofauti ya hizi nyumba mbili ni ipi ukiachana na kwamba nyumba moja ni gorofa na nyingine ni nyumba ya kawaida.? We jamaa ni mzima wewe..?
 
Masaki. Maeneno ya Uswazi karibu na US Embassy 😆😆😆😆😆

View attachment 2760294
Now i know why US Embassy staff in Dar prefer Nairobi…imagine working next to that dump while your colleagues in the neighboring country work and live in first world Runda , go shopping at the village market and can stroll around the neighborhood without fear….seriously it’s like day and night… a US marine friend attached to US embassy in Kenya once told me there’s no difference of his lifestyle in Kenya and America and infact Nairobi is better since it has more nature and better weather to offer… I thought it was a joke but if you analyze the situation you realize it’s true…. These guys live in Runda, shop at top notch malls and travel to Maasai Mara for getaways…that’s better quality life than most of America…no wonder Nairobi was voted the best city in the world by expatriates ….Yes we have our problems like several poor suburbia, we don’t deny it like some people but by far we are the most advanced nation in our realm ….
 
Sasa mjomba tofauti ya hizi nyumba mbili ni ipi ukiachana na kwamba nyumba moja ni gorofa na nyingine ni nyumba ya kawaida.? We jamaa ni mzima wewe..?
Instead of yapping here , why don’t you post your evidence… your response is weak… you posted your two houses and after being confronted unalia na ni wewe tu ulipost . Then why didn’t you post more in the first place.. now you know why we call you Bongolalas…🤣🤣🤣
 
Bongolalas please kueni serious na maisha… no Kenyan in their right mind would show off such houses to the world. It’s a shame!….ati the most well planned city 🤣🤣🤣… maybe a well planned modern Uswaziland…. You are moving up slowly… congratulations!…🤣🤣🤣🤣🤣
DD77DD88-A89F-4123-99B5-79A60ED45FB9.jpeg
 
Bongolalas please kueni serious na maisha… no Kenyan in their right mind would show off such houses to the world. It’s a shame!….ati the most well planned city 🤣🤣🤣… maybe a well planned modern Uswaziland…. You are moving up slowly… congratulations!…🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 2760817
Those r affoldable family houses! I will prefer that to a house in a high rise!
 
Tangu lini kwanza nyie wapumbavu wa kenya mkatuzidi kwenye quality za majenzi nyie kondoo.? Nicxie .. kila siku nyumba zenu si zinaanguka nyie.? 🤣🤣🤣
Sasa nyinyi mtaangukiwa na nini wakati nyumba zenu ni low-rise uswazi hovels?
 
Those r affoldable family houses! I will prefer that to a house in a high rise!
Wala hiyo ni shida yako, sisi hatujali. In cities like New York, Singapore, Kuala Lumpur, Shanghai, Hong Kong, Jakarta, Taipei etc, affordable houses are apartments
 
Pole kwa maumivu, najua estate ndiyo sehemu pekee mliyokuwa mmebaki nayo ambapo nako huko tumo na tunaenda kuwachakaza vby. Tofauti ya vi estate vyenu na zetu ni kubwa sana, nyie kama kawaida yenu mnagusa gusa sehemu alafu mnaacha, hamuingii in deep, yani ubabaishaji tu kama kawaida yenu, sisi tukifanya tunafanya kweli.

Vi estate vyenu ni cheap, no wonder Dar imeiacha mbali Nairobi kwa thamani ya estate, wakati bado mnazubaa zubaa na Dar, sisi tushaanza kujenga estate mpya za kisasa Dodoma, nyie mmebaki na vi estate ushuzi Nairobi pekee. Watanzania tuna akili kuliko nyinyi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Please prove that the value of Dar estate imeshinda Nairobi na nitafunga account, you will never hear from me ever again …. I promise….
 
Did you take into account that Dar real estate is ahead of Nairobi by 3bn USD or you just sputtered egotistical rubbish here.
Where is that value?… if you mean Uswaziland, yes I agree … yours is more valuable 🤣🤣🤣🥲
 
Back
Top Bottom