The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Alafu imekaa hovyo hovyo, sisi tushatoka huko, now tunajenga estate za kisasa.
Alafu imekaa hovyo hovyo, sisi tushatoka huko, now tunajenga estate za kisasa.
Ni mpya hizo. Sasa hivi zipo on saleNi mpya? Mbona nyie wakenya hamna akili namna hii!!
Ziko wapi mbona hatuzioni? 😆😆😆😆😆 Google Earth mwenyewe msema kweli sijaona hata moja Dar. Kule Dodoma nimeona kijiji kimoja tu 😆😆😆😆Alafu imekaa hovyo hovyo, sisi tushatoka huko, now tunajenga estate za kisasa.
Kuona ni kuamini bro, Yanga ipo juu ya simba kwa sasa, tena juu kwa vyotee kuanzia ndani ya uwanja mpaka nje ya uwanja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣I believe in CAF and FIFA rankings maana hao ndio wenye dhamana ya football hao wengine ni vijitaasisi vya mchongo 😅
Yaani cheap wine hivyo ndo unaagiza toka US? Wine ya $35 si ya kupigia mswaki tu……🤪Great weekend…. My wine package just arrived today…. The wine that’s becoming America’s favorite…View attachment 2760100
Pumbavu wewe kamdanganye babaako Mathare.Ni mpya hizo. Sasa hivi zipo on sale
Pole kwa maumivu, najua estate ndiyo sehemu pekee mliyokuwa mmebaki nayo ambapo nako huko tumo na tunaenda kuwachakaza vby. Tofauti ya vi estate vyenu na zetu ni kubwa sana, nyie kama kawaida yenu mnagusa gusa sehemu alafu mnaacha, hamuingii in deep, yani ubabaishaji tu kama kawaida yenu, sisi tukifanya tunafanya kweli.Ziko wapi mbona hatuzioni? 😆😆😆😆😆 Google Earth mwenyewe msema kweli sijaona hata moja Dar. Kule Dodoma nimeona kijiji kimoja tu 😆😆😆😆
Lia kabisa. Nairobi imewaacha na miaka kumi 😆😆😆😆😆Pole kwa maumivu, najua estate ndiyo sehemu pekee mliyokuwa mmebaki nayo ambapo nako huko tumo na tunaenda kuwachakaza vby. Tofauti ya vi estate vyenu na zetu ni kubwa sana, nyie kama kawaida yenu mnagusa gusa sehemu alafu mnaacha, hamuingii in deep, yani ubabaishaji tu kama kawaida yenu, sisi tukifanya tunafanya kweli.
Vi estate vyenu ni cheap, no wonder Dar imeiacha mbali Nairobi kwa thamani ya estate, wakati bado mnazubaa zubaa na Dar, sisi tushaanza kujenga estate mpya za kisasa Dodoma, nyie mmebaki na vi estate ushuzi Nairobi pekee. Watanzania tuna akili kuliko nyinyi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Modern Estates zinakaa hivi, sio hizo nyumba za kuku mnajengaPole kwa maumivu, najua estate ndiyo sehemu pekee mliyokuwa mmebaki nayo ambapo nako huko tumo na tunaenda kuwachakaza vby. Tofauti ya vi estate vyenu na zetu ni kubwa sana, nyie kama kawaida yenu mnagusa gusa sehemu alafu mnaacha, hamuingii in deep, yani ubabaishaji tu kama kawaida yenu, sisi tukifanya tunafanya kweli.
Vi estate vyenu ni cheap, no wonder Dar imeiacha mbali Nairobi kwa thamani ya estate, wakati bado mnazubaa zubaa na Dar, sisi tushaanza kujenga estate mpya za kisasa Dodoma, nyie mmebaki na vi estate ushuzi Nairobi pekee. Watanzania tuna akili kuliko nyinyi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Bro Dodoma ni yamotoo sio ya mchezo mchezo, kule panajengwa majengo ya kisasa tu, hakuna maneno mengi.Ziko wapi mbona hatuzioni? 😆😆😆😆😆 Google Earth mwenyewe msema kweli sijaona hata moja Dar. Kule Dodoma nimeona kijiji kimoja tu 😆😆😆😆
Hii ndio mnaita modern estates? 😂😂😂😂😂😂😂 Mtanivunja mbavu. Sasa hebu compare hiyo na hii uone ule upuzi mnaojengaBro Dodoma ni yamotoo sio ya mchezo mchezo, kule panajengwa majengo ya kisasa tu, hakuna maneno mengi.
Huku ni Njedengwa na sio Iyumbu kwenye zile estate zinazowaumiza, nyie hamjengi mpya bali mbaonesha zile zile zilizojengwa na wakoloni, sisi tunawaonesha tunazojenga wenyewe, wakenya hamkupaswa kujitawala 🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 2760537View attachment 2760539View attachment 2760541View attachment 2760543
Sasa hii ni mpya na imejengwa na wakoloni? 😆😆😆😆😆Bro Dodoma ni yamotoo sio ya mchezo mchezo, kule panajengwa majengo ya kisasa tu, hakuna maneno mengi.
Huku ni Njedengwa na sio Iyumbu kwenye zile estate zinazowaumiza, nyie hamjengi mpya bali mbaonesha zile zile zilizojengwa na wakoloni, sisi tunawaonesha tunazojenga wenyewe, wakenya hamkupaswa kujitawala 🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 2760537View attachment 2760539View attachment 2760541View attachment 2760543
Kampuni za Turkiye sio za kuzipa kazi tena,hao ndio wamechelewesha Sgr.
Nyingine hii hapa Toka wamepewa kazi mwaka unaisha sasa Wameshindwa hata kufanya mobilisation licha ya kulipwa.
Iwe mwisho wa kuwapa kazi Hawa matapeli wa Uturuki
View: https://youtu.be/1Wdgh1Ga5jk?si=UsJ_CNiio41KgDXX
this houses look like Maasai manyatta homesteadsBro Dodoma ni yamotoo sio ya mchezo mchezo, kule panajengwa majengo ya kisasa tu, hakuna maneno mengi.