Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Do you really know the principle of demand and supply labda tuanzie hapo kwanza we mtu wa pipeline.
 
"Hapana, mgao na ratiba ni vitu viwili tofauti" 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wapumbavu hawajui tofauti. Kwa kuanzia hayo ni maneno mawili tofauti "mgao" na "ratiba".

Ratiba ni ya kuunga umeme wa msongo mkubwa toka Julius Nyerere Dam kwenye National grid via kituo kikubwa cha kupozea umeme hapa East Africa.
 
Hawa tukiwachekea watakuja kujazana humu wakenya wote milioni 60 mwishowe tutajikuta kama Nigeria humu, dawa yake ndiyo hiyo tia ndani mbwa hao.

Hapa pia tunapata jibu la swali letu la kusema eti wale wakenya omba omba kule kwao ni watanzania, sasa kama ni watanzania wawapeleke kortini kama sisi tunavyofanya 🤣🤣🤣🤣
 
Wapumbavu hawajui tofauti. Kwa kuanzia hayo ni maneno mawili tofauti "mgao" na "ratiba".

Ratiba ni ya kuunga umeme wa msongo mkubwa toka Julius Nyerere Dam kwenye National grid via kituo kikubwa cha kupozea umeme hapa East Africa.
Hawana taarifa kwamba jnhpp limeanza kuzalisha umeme tuwasamehe bure 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…