Madaraja yanasanifiwa (designed) na wahandisi wa kitanzania, wakandarasi wa nje ni wajenzi tuu. Reli, kweli imesanifiwa na kujengwa na wahandisi wa nje pamoja na watanzania.
As usual with most Tanzanians here, you just run your mouth without facts.
1. Tanzanite bridge is a design and build project by South Korea's GS Engineering.
2. Nyerere brdge - Designed by Arab Consulting Engineers Moharram-Bakhoum "ACE" from Egypt.
3. TPA Tower - Designed by K&M Archtects from Kenya
4. Tanzania Parliament - Designed by K&M Archtects from Kenya
Nionyeshe Mtanzania hapo.
Naona unachanganya idadi ya madarasa na elimu, idadi ya madarasa yaweza kuwa sawa lakini unachofundishwa kikawa tofauti.
Hivo ndivoi mnavyosema humu kila siku. Eti mna elimu bora kisa mna madarasa mengi shule ya upili.
Mwalimu wangu wa Pure Math, alikuwa ni Sikh (singa singa), katika career yake alifundisha India, UK na Kenya. Baadae Aga Khan walimwomba aje kuwa head master wa shule yao Tanzania.
Siku moja wakati anafundisha alituambia, "alishanga sana alipokuja kufundisha Tanzania kuona how robust our education system is". Alisema, "nchi nyingi alizofundisha zilishaondoa baadhi ya courses ambazo zilikuwepo zamani ili kurahisisha elimu, ila Tanzania alizikuta.
We don't deal with anecdots.
Huo mfumo wa primary education kuwa na madarasa 8 tulikuwa nao zamani. My parents na grand parents walisoma hiyo system. Hii ya darasa la saba ilianza 70's .
Hamjawai kuwa na mfumo wa 8-4-4, 8-4-5, 8-4-6.
Ku-export professionals wengi siyo sifa bali ni dalili ya nchi husika kushindwa kutengeneza ajira.
Maprofessional tunaoexport sio watu walioshindwa kupata kazi bali ni watu walio na skills za hali ya juu hadi wanatafutwa. Leo hii nikikuambia unitajie MaCEO wa Kitanzania outside Tanzania au kwenye multinationals utashindwa. Kuna aina mbili za kuonyesha mfumo wa masomo ni mzuri. One is when you export technology and another is when you export professionals who go ahead and become team leaders in their host country. It's interesting Tanzania neither exports professionals nor technology and to make it worse, they even import professionals to run and design their grandest projects yet you're confidently stating you have superior education. The delusion in you people is appalling.
Kuna wakati Tanzania huwa wanaajiri watu wa nje ili wapige pesa. Wanaajiri mtu wa nje ili wa justify gharama kubwa, wakitumia wabongo itakuwa ngumu kudangaya.
That's a very stupid logic even by your standards. If you produce a good product, your high prices will be justified. Nobody will buy a product expensively because the professionals who did it are outsiders. Tanzania is capitalist now, whoever produces good quality at a cheaper price wins. What kind of idiot will employ a Kenyan professional at a higher cost when a Tazanian professional can do the job at a lower cost? It's clear you've never run a business.
Water table Dar iko juu sana, kwa nini magorofa yetu hayaanguki?.
Water table and soil bearing pressure are two different things. Engineering 101.
We've high rises all over the place in Dar, even the uswazi areas like Mbagala have some, we don't witness anything of the likes of Nairobi.
There are way more highrises in Nairobi than in Dar. Your informal housing is not highrise. Ours is. And despite that, you still have buildings collapsing too.
Wengi wanaokuja kusoma Kenya, wanakuwa wameshindwa elimu ya Tanzania.
As stupid as your logic is, education that is too hard for the students is not good education.
Like I said before, good education should be accompanied by results. Kenya is by far ahead of Tanzania in all matters technology, tech startups, professionala, engineering and manufacturing. The well off in Tanzania bring their kids to Kenya to study. Our schools and universities are ranked ahead of your schools, Tanzanian employers seek and prefer Kenyans over Tanzanians - so tell me again, how's Tanzania's education superior?